Mwanaume katika kutamani na kupenda

Feb 18, 2017
63
62
Habari wana jamii,
Ningependa leo tujifunze kitu rahisi tu katika mahusiano, huwa dada zetu wanapenda kufanya mambo kuwa magumu jambo linalopelekea kuingia katika mahusiano ya hovyo sana.

Mwanaume huwa hapendi bila kutamani na hii ni kawaida sana hata katika maisha ya kawaida tu, kitu utakitamani sana lakini kukipenda itatokana na kitu ulichokuwa unakitarajia ulipokitamani.

Kina dada mnatakiwa mjue kuwa jukumu la mwanume kukupenda lipo kwako na sio kwake macho huleta tamaa na sio mapenzi, mapenzi yanakuja baadae.

Naweza kuwa na ist ila nikatamani cruiser baadae nikagungua cruiser inakula mafuta nikawa siipendi tena au nikagundua ni gari ya kazi na ina nguvu basi nikaipenda sana..
Source:briophyta plantae
 
Back
Top Bottom