Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi ni mwanamke mwenye miaka 34 sina mtoto na sijawahi kuolewa Naishi Dodoma, nimeajiriwa Elimu yangu ni ngazi ya shahada Dini yangu ni Mkristo Mwili wangu ni kawaida Afya yangu ni njema Mume...
40 Reactions
268 Replies
5K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitazama mahusiano ya watu mbalimbali, hasa watu maarufu, na kuna jambo moja limekuwa likinifanya nihoji. Inawezekana wanawake wengi, kwa asili yao, huvutiwa zaidi na...
3 Reactions
9 Replies
149 Views
Natafuta mke Umri wangu 41 Mke miaka 37 hadi 40 Ninaishi Njombe Ninawatoto wawili
7 Reactions
81 Replies
646 Views
Hampeani support kwa waume wenzio.nyie mpo tu barazani mnapiga umbeya.alaf mnataka mabadiliko yatoke wapi.
2 Reactions
5 Replies
112 Views
Hamuwaz yeyote ni wewe na maisha yako.mimi sipend kuumiza kichwa nikiwaza mapenzi.nawaza jinsi nitakavyo mwagilia moyo.usela tuh nakataa ndoa kabisa.
7 Reactions
46 Replies
521 Views
  • Redirect
1.Walimu wa shule za msingi 2.Maafisa kilimo 3.Manesi 4.MaHR na masekretary 5.Wanajeshi 6.Maboss wajane 7.Wafanyakazi wa benki Hawa watu haupati shida kutongoza ni swaga kidogo tu wanajaa...
5 Reactions
Replies
Views
Mfumo ndiyo wakutumia sio kujipa gharama za ndoa alafu mwishowe mwachane.
10 Reactions
46 Replies
724 Views
Ni binti mpole sana na anayejiamini sana ndoh maana anakubalika sana na wengi.hakuna posti inapita hajatagiwa kwa kwel ni mtu wa watu!
6 Reactions
44 Replies
523 Views
Kumbe ni ubatili ni kama kujilisha upepo ukizani unashiba Nilikuwa na hakikisha mama mkwe, wadogo zake, yeye mwenyewe hawakosi mahitaji muhimu, nilikuwa najitoa haswa, na kazi nilikuwa napiga...
11 Reactions
28 Replies
459 Views
Wanaume mlioamua kuoa, timizeni wajibu wenu. Msiwaache wake zenu wakizunguka huku na kule wakijileta kwa wanaume ambao hawana hata mpango wa kuoa. Sisi hatuna mazoea nao, lakini wao ndiyo...
18 Reactions
79 Replies
971 Views
Kumekuwa na mafundisho mengi sana siku hizi kuhusu namna nzuri ya kukabiliana na umaskini , Moja ya jambo linalosemwa ni watumishi kuoana na kufanya ndoa, na tunashauriwa sana kuwe na...
2 Reactions
20 Replies
242 Views
According to the laws of attraction, we are what we think. Sio hapo tu, we subconsciously become who we believe to be so. Wengi tunaishi maisha tusiyo yataka kwasababu that's what we resist...
12 Reactions
65 Replies
765 Views
Sio uzuri au alivyoumbika bali ni utu aliyonayo anaweza akawa mbaya kimuonokano na akawa mzuri kitabiya
2 Reactions
4 Replies
73 Views
Leo nimekaa sehemu karibu na genge la matunda akaja mdada mmoja anataka kununua tango akapewa akasema hapana mi napenda matango manene,baada ya kauli hiyo akaniangalia huku anacheka namimi ikabidi...
10 Reactions
24 Replies
428 Views
Kuna binti kakutana na Surprise ambayo naamini hawezi kusahau kamwe, alikuwa na mpenzi wake ambaye walikuwa na miaka 4 anakwenda mpaka kwa kwao na jamaa akiamini kwa hatua waliyofikia yeye ni mke...
7 Reactions
28 Replies
616 Views
Ndugu.. Kama unataka amani ukiwa na hawa viumbe hakikisha unakua mnafiki kwao. Wewe kua mnafiki tuu utatoboa
6 Reactions
35 Replies
702 Views
Ustadhi anasema kutokana na Experience yake ndogo kwenye ndoa; amengundua kuwa ndoa nyingi za kikristo hudumu kuliko ndoa za kiislam na hii inatokana na wanaume wengi wanakimbilia kuoa wanawake...
7 Reactions
26 Replies
402 Views
Nina rafiki ambaye alimpa mimba msichana aliyekuwa akiishi naye kwa takribani miaka 3 hadi 4. Baadaye alipata kazi mbali na eneo walilokuwa wanaishi. Alipofika kwenye eneo lake jipya la kazi...
7 Reactions
54 Replies
630 Views
Natafuta mke umri 30+ Umri wangu 41 Watoto 2 Sms kujibiwa 0792045560
0 Reactions
1 Replies
137 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…