Katka mapenz kuna ajali nying lkn usithubutu kupatwa na hii kitu inaitwa fumanizi maumivu/aibu yake haipimik kwa wote anaefumania na anaefumaniwa wote hupatwa na taharuk la aina yake.
.
Asikwambie...
Habari ya asubuhi wakuu ....
Jamani mke wangu ananinyanyasa tukichekeana nusu SAA nusu SAA ukolofi ananiuliza maswali ya mitego nijibu aanze kufoka natamani kusafir kila siku u ,SWALI
INA maana...
wakuu ni matumaini yangu mko cool.
Leo nimetupia thread hii kwenu kutaka msaada wa kimawazo juu ya huyu binti wa mjomba wangu!
Tangia nije kwa mjomba amekuwa...
Sijuhi nina matatizo gan? mwanamke akiniomba pesa inayozidi buku ten hapo mgogoro unaanza Kabisa.
Naijua hali ya uchumi lakini kuna muda nakuwa na pesa, but still nashindwa kutoa zaidi ya pesa...
UKWELI MCHUNGU ...
Nyakati na Technology zimeharibu mambo mengi sana Tanzania.Wanawake wenye akili wasio na elimu walizaa na kulea ma Professors. Nyakati hizi wanawake wasomi wanashindwa kuzalisha...
HEKIMA NI NINI?
Hekima ni uwezo wa kutumia maarifa uliyonayo kwa ajili ya kuzalisha matokeo unayotamani maishani mwako. Unapotamani kuona matokeo fulani katika maisha yako jua kuwa kuna maarifa...
Mara ya mwisho nilipiga game siku ya jumapiliya tarehe 30/12/2018 tangu Asubuhi mpaka jioni,lilikuwa game moja makini sana na wife 2 be,
Sasa tangu nipige lile game mpaka leo sina hamu ya mbunye...
Dadii wajua leo nina furaha......
Hisia zangu zakuita, uzidi kujaa moyoni...
Kwasababu ni wewe tuu, nimpendaye ni wewee tuu Dadii....
Penzi letu lidumu milele yote na lishamiri kwa namna ya...
Daktari usijali! Najua nitakufa muda wowote kuanzia sasa. Sikutaka kuja hospitalini ila manispaa imenileta hapa.
Usijali kuhusu mimi, angalia nywele zangu, zimekwisha. Mimi ni mzee lakini wewe...
Women are like swimming pool,Never think about who swam before u,Never think whom ur swimming with,Never think who will swim after u, just enjoy swimming
Malengo yetu ilikua tukuje kuoana
baada ya muda.
Pasipo mashaka, nilijitoa sana kwa binti huyu na hata ndugu jamaa na marafiki wote waliniona mjinga, lakini hali ile haikuweza kunifanya nikate...
••••KUNA MALALAMIKO NAYAPATA KUWA...!••••
```Mabint wengi kwa nje ni mabint wazuri tu, wana mashape Mashaa Allah, yaani ni masister duu na maslay queen balaa...LAKINI TATIZO NI UCHAFU WA NDANI...
Ama kweli mapenzi hayachagui dini, kabila au rangi
Huyu binti haambiliki wala hasikii anasema bora azikwe hai [emoji28]
Watajijua wenyewe sisi tufanyaje sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kheri ya mwaka mpya wapendwa?
Baada ya kuwatakieni kheri ya mwaka mpya nikimbie moja kwa moja kwenye mada husika.
Mwaka Jana nilibahatika kupata binti mrembo kutoka Tanga. Na kuamini kuwa Tanga...
Habari wanajamvi
Kwa kweli naweza kusema huu ni mwaka mpya 2019 na mbinu mpya za kutupiga mizinga/kuombwa pesa na wanawake au michepuko yetu inayotuburudisha nafsi
Kwa style hii hawa wanawake...