JAMAN HIVI MKE ANAVYO KUWA NA MIMBA

JAMAN HIVI MKE ANAVYO KUWA NA MIMBA

pastor muyamba

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
252
Reaction score
135
Habari ya asubuhi wakuu ....
Jamani mke wangu ananinyanyasa tukichekeana nusu SAA nusu SAA ukolofi ananiuliza maswali ya mitego nijibu aanze kufoka natamani kusafir kila siku u ,SWALI
INA maana mke anavyokuwa na mimba akili inahsmia tumboni ? Maana mtoto so mtoto ,Mimi syo mpenzi wa mpira lakini imenilazimu niendage mechi za usiku ,maoni na ushauri Tafadhali wakubwa huenda Nina makosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jitahidi kua nae karibu ndo walivyo hawa viumbe...ila usimwendekeze sometime anapaswa kujua na wwe hupendezwi na hivo vtuko.....na uwe makini nae tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes mkuu subira nguzo muhimu
Subira asili yake ni katika mambo yenye kukera na kuudhi,mateso matatizo,ndo lilikopatikana neno subira.

Hakuna subira kwa mtu mwenye starehe na raha katika maisha yake,subira ni wakati wa matatizo na maudhi kama hayo unayoyapsta mtoa mada,usije kuhisi kapata bbuzi la njee,hapo utaupa kazi nyingine moyo wako,kazi ya kumchukia mkeo kwaanjambo la hisia.

Unatakiwa kuwa na dhana njema,chukulia huyo ni mtoto kwamba kuna ambayo unatakiwa kumuonya na kuna ambayo unatakiwa kumpa udhru kwamba aaah ndo utoto huo,sio kila jambo akikufanyia unaliweka moyoni,unatoka umenuna mwishowe utasema aaah kwani yeye mbona ananifsnyie vile na vile na mimi nachepuka.

Usifikie huko mpe udhuru utaishi vyema,ukijifunza kutoa udhuru utaishi vyema,mpe udhuru mjamzito,mpe udhuru mtoto,mpe udhuru chizi kwamba akili zimeruka hata akikurembea jiwe wewe utamkimbia huwezi kumuwekea kinyongo hata siku moja kwa sababu unajua ni chizi.

Sasa akili ya udhuru ihamishie kwa mkeo,nakutakia udhuru mwema na mkeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hao kina mama ni wakuwaonea hururma tu we vumilia kuwa nae karibu usichukie kila anachokifanya ukijua wanakazi ngumu siku ya kujifungua nenda kashuhudie uone shuguri anayoifanya tuwe na mazoea ya kushuhudia mke akijifungua inauma sana unaweza siku akipona unaweza kuwa unamhurumia hata kumgegeda ingawa anataka pamoja na kuwa nao wanasemaga sirudii tena kugegedwa siku ya kujifungua lakini tumeumbiwa kusahau
 
Habari ya asubuhi wakuu ....
Jamani mke wangu ananinyanyasa tukichekeana nusu SAA nusu SAA ukolofi ananiuliza maswali ya mitego nijibu aanze kufoka natamani kusafir kila siku u ,SWALI
INA maana mke anavyokuwa na mimba akili inahsmia tumboni ? Maana mtoto so mtoto ,Mimi syo mpenzi wa mpira lakini imenilazimu niendage mechi za usiku ,maoni na ushauri Tafadhali wakubwa huenda Nina makosa

Sent using Jamii Forums mobile app
Vumilia tu mkuu....mimba si umeweka mwenyewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hao kina mama ni wakuwaonea hururma tu we vumilia kuwa nae karibu usichukie kila anachokifanya ukijua wanakazi ngumu siku ya kujifungua nenda kashuhudie uone shuguri anayoifanya tuwe na mazoea ya kushuhudia mke akijifungua inauma sana unaweza siku akipona unaweza kuwa unamhurumia hata kumgegeda ingawa anataka pamoja na kuwa nao wanasemaga sirudii tena kugegedwa siku ya kujifungua lakini tumeumbiwa kusahau
Nadhani wamekuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ya asubuhi wakuu ....
Jamani mke wangu ananinyanyasa tukichekeana nusu SAA nusu SAA ukolofi ananiuliza maswali ya mitego nijibu aanze kufoka natamani kusafir kila siku u ,SWALI
INA maana mke anavyokuwa na mimba akili inahsmia tumboni ? Maana mtoto so mtoto ,Mimi syo mpenzi wa mpira lakini imenilazimu niendage mechi za usiku ,maoni na ushauri Tafadhali wakubwa huenda Nina makosa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mvumilie tu
Mimba inasababisha hormone zipande sana mwilini
Mvumilie tu akijifungua atakuwa OK
Ila zidisha kupiga game inasaidia sana kupunguza hasira zake
Piga game hadi bado week moja ajifungue
 
Mkuu bado mpk leo haujaambiwa kua unanuka kama beberu?
nourkhery hivi ni kweli mjamzito hua anapitia hali hio au huwa wanajifanyisha?

Maendeleo hayana chama
 
Mvumilie je angukuambia umpe kila siku ungekuja hapa kutuambia.Kila ujauzito unasifa zake.
 
Habari ya asubuhi wakuu ....
Jamani mke wangu ananinyanyasa tukichekeana nusu SAA nusu SAA ukolofi ananiuliza maswali ya mitego nijibu aanze kufoka natamani kusafir kila siku u ,SWALI
INA maana mke anavyokuwa na mimba akili inahsmia tumboni ? Maana mtoto so mtoto ,Mimi syo mpenzi wa mpira lakini imenilazimu niendage mechi za usiku ,maoni na ushauri Tafadhali wakubwa huenda Nina makosa

Sent using Jamii Forums mobile app
Dharau hizo mkuu, tandika kofi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom