Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 19 sijawahi kukutana kimwili na binti. Kuna kabinti jirani na ninapoishi . Mwaka jana mwezi wa tatu aliniomba nimsindikize hospital akachukue arv. Leo hii...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Hello wakaka na wadada… leo naweka assumption...prove me wrong Ukiona umeweka tangazo lako la kutafuta mume au mke wale wanaokujia na 'kila la kheri' ni singletons..!!! Either,wanataka uwa...
7 Reactions
60 Replies
7K Views
Wakuu kwanza naomba nikiri kusema kuwa sijawahi kuteswa namna hii tangu nizaliwe. Katika mishe mishe zangu za kutafuta ugali nilienda Mwanza kikazi, nikalala kwa muda wa siku mbili Lodge moja...
2 Reactions
50 Replies
8K Views
Ni hawa tu nikishawala basi nitaoa na kutulia na mke wangu kipenzi, Dinnah Khantwe Mama Sabrina Nafikiri watakuwa na chura kubwa matata sana . Cc Zero IQ Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Amini, amini nawaambia, kwenye nyumba nyingi mtoto wa tatu ni wa nje ya ndoa- Bujibuji Theory no.2 Habari kamili. Mnapopata mtoto wa kwanza, mapenzi huongezeka, umoja na mshikamano mnapopata mtoto...
7 Reactions
108 Replies
13K Views
Ndugu wanajukwaa, Habarini za usiku. Nyakati za sasa kumekuwa na changamoto kubwa kimahusiano, kwa mtizamo wangu ni kutokana na kuwa na matamanio ya kimahusiano au vitu na kuacha misingi ya asili...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Imeelezwa kwamba kuna faida nyingi za mtu kufuga ndevu: 1.kukingwa na mionzi ya jua yenye kuathiri ngozi kwa saratani ya ngozi. 2.Kutodhihirka kwa uzee kama wenye kunyoa walio katika rika moja...
6 Reactions
65 Replies
25K Views
Asanteni, kama kichwa kinavyojieleza, naomba kujua, aina ya majani yanayoweza kuwafukuza hawa wadudu wabaya. Naamini, kwa anayefahamu, hiyo itakuwa faida kwa wote wenye adha hii Sent using Jamii...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
wewe mwanamke jitambue, huwezi mkomesha mumeo kwa lolote zaidi zaidi, utakuwa unatoa fulsa ya michepuko. mpaka mwanaume aliamua kukuoa, ujuwe alikupenda, kwanini leo ageuke, utakuja kujuwa wewe...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Rafiki yangu amenidokeza kuwa katika Tanzania mkoa ambao wasichana wanakuwa wanavutia ni Bukoba eti alisema karibuni kila utakaemuona ana figure 8 na huchoki kumtazama ,kwa kweli alikuwa na fikra...
0 Reactions
451 Replies
137K Views
Girl friend wangu kasababisaha nimgegede rafiki yake aliyesoma naye. Mambo yalianza hivi, Nikiwa sina habari wala wazo lolote juu ya kumtongoza rafiki huyo, yeye (girlfriend wangu) akaanzisha...
6 Reactions
70 Replies
12K Views
Wazee kama tulivyokubaliana Mwanamke hasomeshwi, 2019 Hakuna ku date na Mwanamke asiyekua na kitu. Mwanamke ambaye hawezi kujilipia ata nauli kufata mgegedo she is totally liability. Mapovu ruksa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
USIKUBALI KUFIA HAPO!!! Kwamba upo unasoma Ujumbe huu sasa ni ushahidi kuwa bado upo hai, na kama bado upo hai , basi u miongoni mwa wenye Bahati sana , kwa kuwa uhai una thamani kuliko...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Naitwa Saidi kobelo natafuta mchumba awe muislam awe chini ya miaka 36 aweze kuishi kijijini awe na muonekano wa kisayansi nikimtazama maraika wanamuandikia thawabu awe anashaurika awe tayari...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari zenu wanajumuiya wa JF,leo nataka kuwapa uzi juu ya hawa dada zetu wa kidigital Utafiti unaonesha kuwa mademu wengi wanapenda sana romance kutoka kwa wapenzi wao na kuna wengne...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Tukiwa wanyama wenye akili kupita wote na ufahamu wa mema na mabaya, tumejiwekea ethics kama sehemu ya maisha yetu. Uko huru kuamini dini yeyote au kuwa mpagani, lakini uwe pia na uelewa wa...
8 Reactions
60 Replies
8K Views
Labda kwa kuanza tu niwasalim wote na nawaomba muwe miongoni mwa mtakaookoa nafsi yangu iliyojaa MAUMIVU YASIYO NA KIFANI NILIANZA KUISHI NA MKE WANGU HUYU 2008 KABLA YA NDOA NA TUKABAHATIKA...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu ni hivi, Ninaye mpenzi ila bado ni mwanachuo moja hapa jijini, Nimekuwa najitahidi sana kusimama kama mwanaume kwa kumpa anachotaka,ili tu moyo wake iitulie kwangu, Kiukweli ananipenda...
6 Reactions
49 Replies
3K Views
Labda kwa kuanza tu niwasalim wote na nawaomba muwe miongoni mwa mtakaookoa nafsi yangu iliyojaa MAUMIVU YASIYO NA KIFANI NILIANZA KUISHI NA MKE WANGU HUYU 2008 KABLA YA NDOA NA TUKABAHATIKA...
0 Reactions
0 Replies
940 Views
Kwa ninavyojua like ilikuwa moja ya vigezo muhimu wa kupima ubora wa msg inayotumwa, ndo maana hadi kuna records za likes received, hivyo ilikuwa inahamasisha watu kuwa wabunifu zaidi. Huu uzi wa...
1 Reactions
12 Replies
986 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…