JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,968
Kwa ninavyojua like ilikuwa moja ya vigezo muhimu wa kupima ubora wa msg inayotumwa, ndo maana hadi kuna records za likes received, hivyo ilikuwa inahamasisha watu kuwa wabunifu zaidi. Huu uzi wa kupeana like kwa chochote ni hatari maana utaua ubunifu na utapoteza maana ya like, natoa mwito moderator waufute mara moja.