Kasababisha nitembee na rafiki yake

Kasababisha nitembee na rafiki yake

Mshikawezi Mwizi

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
751
Reaction score
375
Girl friend wangu kasababisaha nimgegede rafiki yake aliyesoma naye. Mambo yalianza hivi,

Nikiwa sina habari wala wazo lolote juu ya kumtongoza rafiki huyo, yeye (girlfriend wangu) akaanzisha majungu katika mahusiano yetu. Siku moja nilipomaliza kumgegeda akaniuliza eti mimi nina mahusiano gani na rafiki yake huyo. Nilihitaji sababu za kuniuliza swali hilo akaniambia kuwa huyo rafiki yake amekua akiniulizia sana, eti aliwahi kumwambia kwamba mimi nilikuwa nampenda sana enzi hizo wakati sijawa na huyu girlfriend na niliwahi kumtongoza akanitolea nje.

Baada ya kusikia hivyo nilikaa kimya nikitafakari, lakini nikazidi kushambuliwa kwamba mimi ni mkimya na mtaratibu lakini nimejaa kiburi eti kwa nini sitaki kukanusha au kukubali. Ilipofikia hapo ilinibidi nikanushe na nikaeleweka.Kesho yake huyu girlfriend wangu akanipigia simu akinilaumu kuwa rafiki huyo bado ananisifia sana kiasi kwamba inampa mashaka kuwa mimi natembea naye. Nikakanusha na kumsisitizia kuwa mimi hata namba za simu za huyo rafiki yake sikuwa nazo.

Siku hiyo binti huyu aliongea maneno makali sana hata mimi nikagundua kuwa huenda huyo rafiki yake ana mbwembwe sana juu yangu, japo mimi sikuwa na mpango naye na wala sijawahi kumtongoza.Siku nyingine nikiwa nimeweka pause na mpenzi wangu maeneo fulani, mara akatokea huyo rafiki yake, akatusalimia alafu akaanza kutusifia eti tumependeza sana, sifa nyingi zikamwagikia kwangu eti najua sana kupenda ni mfano wa kuigwa. Maneno yalipozidi mpenzi wangu alibadilika sijui kama rafiki yake aligundua au lah!.

Alipoondoka lawama zikaja kwangu kwamba yule ni hawara yangu eti kwa nini sikumkemea alipoanza kumwaga misifa, nikawa mpole, nikaambiwa upole wangu ni wa kiburi.Nilipotafakari sana, nikaona dawa ni kugegeda tu ili nilete heshima mtaani. Siku moja nikachukua simu ya mpenzi wangu, nikatafuta namba ya huyo rafiki yake, nikaichukua. Nilipompigia simu kwa namba yangu, nikagundua kuwa hata yeye hakuwa na namba yangu, kwani aliniuliza; nani?. Nilipojitambulisha akaniuliza nimetoa namba yake wapi, nikaona ni swali zuri lenye msaada kwangu, nikamjibu, 'mimi siwezi kukosa namba za mtu muhimu kama wewe'.

Jibu hili lilimfanya aibuke na maswali mengi sana yaliyorahisisha utongozaji. Tukapanga tukutane kesho yake, mambo yakawa kweli, nikamkanyaga haswaaaaa!. Mtoto ni mtamu, kwani ana sifa kadhaa za uchangudoa, hivyo anatoa kitu bila wenge, anajiachia, analalamika huyooo!. Baada ya hapo nikampa masharti ya kumheshimu mpenzi wangu na kutoniongelea mimi hawapo na mpenzi wangu. Tangu siku hiyo, mpenzi wangu amekuwa akimsifia eti siku hizi anajiheshimu sana, eti uenda nilimtosa tangu siku ulipozuka mgogoro. Kumbe mwenzie namla kila jumamosi na jumapili kwa heshima na taadhima kwa kuzingatia itifaki. Je, nani alaumiwe?

 
ok. Sijamalizia isoma habari yako maana ningelewa zaidi.

You showed ur manhood kugegeda.
 
Back
Top Bottom