Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Habari zenu wanajumuiya wa JF,leo nataka kuwapa uzi juu ya hawa dada zetu wa kidigital
Utafiti unaonesha kuwa mademu wengi wanapenda sana romance kutoka kwa wapenzi wao na kuna wengne wanaridhika kabisa kwa romance,,
Me nimetembea na mademu wengi sana na wengi wao walikuwi wanapenda sana romance mgegedo kidogo
Vipi nyie wahuni kuhusu mademu zenu?mnakubaliana na hili ?Na dada zetu mnaweza changia hili
Sent from my iPhone using JamiiForums