2019 Ain't date broke girl

2019 Ain't date broke girl

Tresa

Senior Member
Joined
Oct 23, 2018
Posts
131
Reaction score
236
Wazee kama tulivyokubaliana Mwanamke hasomeshwi, 2019 Hakuna ku date na Mwanamke asiyekua na kitu. Mwanamke ambaye hawezi kujilipia ata nauli kufata mgegedo she is totally liability.
Mapovu ruksa wakuu tiririka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauli ya kufuata mgegedo huwa haipatikani ila ukimwambia kuna zawadi yake itapatikana tu.

Kwangu, hata uwe mpya Kwangu ila ukishanambia huna nauli ya kuja, huwa nachukia nitakutumia ila moyoni sijisikii fresh.

Bora hata anayekwambia nachukua usafiri, utalipia au aseme nachukua sehemu flani utarudisha.
Wazee kama tulivyokubaliana Mwanamke hasomeshwi, 2019 Hakuna ku date na Mwanamke asiyekua na kitu. Mwanamke ambaye hawezi kujilipia ata nauli kufata mgegedo she is totally liability.
Mapovu ruksa wakuu tiririka.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati nambandua anaweka kanda ya muziki wa dini sauti ya juu mimi nakamua tu mwanzo mwisho
 
Back
Top Bottom