buffaro89
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 592
- 378
wewe mwanamke jitambue, huwezi mkomesha mumeo kwa lolote zaidi zaidi, utakuwa unatoa fulsa ya michepuko.
mpaka mwanaume aliamua kukuoa, ujuwe alikupenda, kwanini leo ageuke, utakuja kujuwa wewe ndio unashida wewe mwanamke,
sina mengi, msipende kushindana, na wanaume zenu, kwa kuwakosea na kuwajibu, mtaishia kupigwa na kupewa taraka! mnapenda kubembelezwa sawa, ni baada ya nyie kuonyesha heshima kwanza, okay wanawake?
ujaelewa nenda ukafanye tofauti, utakuja utafute huu uzi tena hapa!