Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,597
- 215,272
Tukiwa wanyama wenye akili kupita wote na ufahamu wa mema na mabaya, tumejiwekea ethics kama sehemu ya maisha yetu. Uko huru kuamini dini yeyote au kuwa mpagani, lakini uwe pia na uelewa wa kujibu swali iwapo watoto wako watakuuliza kwanini umeamua kuwa Mpagani, Mcosmo au unaamini jua.
Siku hizi come and we stay ni style ya maisha si mjini tu bali hata huku Malampaka vijijini. Ni rahisi kuja kuwafahamisha watoto wetu kuwa Baba na mama walikutana disko na asubuhi yake walianza kuishi pamoja?
Hakuna anaetupangia maisha lakini norms za society zizingatiwe.
Povu ruksa.