Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nani kakuambia kuwa Wanawake wa Mkoani Tabora wana shida sana na Wanaume pamoja na Mikuyenge yao ambayo mingine ni mikubwa na midogo na hapo hapo wengi wao wakiwa hata Kufanya kwenyewe tu Mapenzi...
1 Reactions
8 Replies
6K Views
*Wanaume wenzangu, tufanye kazi kwa bidii tutafute hela ili uzee wetu tuwe na uwezo wa kujitegemea. Hakikisha kwenye uzee wako una pesa zako mwenyewe za kukufanya usurvive. Sahau kuhusu watoto, na...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanajamvi nmeamini mapenz yanauma sana kwa mtu uliyempenda alafu akakutenda. Niende moja kwa moja kwenye kisa kilichonikuta. Nlikututana na dada mmoja nikiwa chuo 2014 nikiwa mwaka wakwanza na...
5 Reactions
97 Replies
10K Views
Wanaume huu ni ukweli usiopingika kama hujawai date na demu wa kichaga au unakataliwa basi jua wewe mafanikio yamekupita pembeni. Madem wa kichaga hawawez date na mwanaume ambaye haonekani kuwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu nimetoka kuchati na girlfriend wangu amesema anakuja naomba msaada niazimwe Gari Mafuta nitatia kwa muda wa siku 5.. Bei tutaelewana. Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
80 Replies
10K Views
Hope mko okay na weekend, na wale tuliona kazi zisizo na weekend natumaini tunaendelea nazo vyema. Ilikuwa na jana mida kama ya tisa hivi nikuwa pale temeke hospital nia yangu ilikuwa nielekee...
17 Reactions
295 Replies
93K Views
Wakuu habari zenu nimekuja kwenu kutaka ushauri mimi nina miaka 23 kuna demu nimetokea kumpenda hilo haikuwa nowma kimbembe kilianza pale mwanaume nilipoamua kumwambia hisia zangu alikuwa na...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Wadada ambao kila siku ukitumiwa sms na namba ngeni unaanza kuuliza _"Umetoa wapi namba yangu???_" kaa hivyo hivyo na maujinga yako wenzako wanaolewa we utabaki kuwa mpelelezi
2 Reactions
6 Replies
966 Views
Mapenzi Yana run dunia walahi.mwanamke Kama mliachana siku akirudi akiamua kukupanga amedhamiria hata Kama uwe na moyo mgumu lazima utulie.kama kweli ulimpenda unakuwa mpole akijiliza.makauzu wote...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa Mwanamke mmoja huko nchini Kenya aitwae Annitah Raey aliyekuwa akihojiwa katika Kipindi cha DayBreak kinachorushwa na Runinga ya Citizen ya huko nchini...
6 Reactions
84 Replies
8K Views
Siku ya kwanza baada ya kula mzigo, ladies huwa mnatuma texts nyingi sana za maswali!!? mna nini lakin......? Sent from my iPhone using JamiiForums
5 Reactions
27 Replies
9K Views
SABABU 7 ZA KWA NINI KILA MWANAUME ANAHITAJI MWANAMKE SAHIHI KAMA MKEWE WA NDOA: Kwangu kipindi ambacho kilinivutia sana ni kipindi cha kampeni za uchaguzi nchini Marekani. Ni pale Obama akiwa...
3 Reactions
3 Replies
3K Views
Ilikuwa 90's nilizama chumbani kwa binti nipige mzigo,huyo binti tulikuwa tunasoma naye secondary. Basi bana zile wanazosema za mwizi arobaini ndo zilikuwa zimetimia. Kabla sijaanza kupiga mzigo...
10 Reactions
37 Replies
4K Views
Wana Janvi Kuna ka usemi flani huwa wanatumia wakitaka kukuomba hela ukikasikia tu unajua hapa nataka niombwe hela ya matumizi mfano huwa nikisikia “ UKOWAPI” inafuatwa na “NIKAWMBIE KITU”...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimependa reaction ya huyu mwanamke baada ya kuona jamaa yake kakasirika, hakika mwanamke anatakiwa kuwa hivi.
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Asanteni
7 Reactions
107 Replies
11K Views
#usiishienjiani leo: Watu Sahihi, Watu Wazuri. Kwenye Maisha tunawahitaji watu sahihi. Watu Sahihi sio lazima wawe Wazuri kwetu wanaweza kuwa watu wabaya lakini ni sahihi. Kusudi la hao watu...
8 Reactions
18 Replies
3K Views
Kama wanawake hatufiki kileleni na hatupati tatizo lolote sasa kuna haja gani ya wanaume kufika kileleni? Kwani ni lazima? Au mm Demiss ni mshamba sielewi naomba mnieleweshe maana hata nikisex...
13 Reactions
402 Replies
37K Views
Wakuu poleni na majanga vifo na ajali tunazoendelea kizisikia...nirudi kwenye mada ninamchumba nnaye tarajia kufunga naye ndoa na nimeshaanza process ikiwa Ni pamoja na kupeleka posa bint nna...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Hello? Baada ya muda mrefu wa masikitiko ya kuachwa na aliyekua mpenzi wangu leo ninaandika nikiwa na furaha na amani. Kiukweli nilipoachwa niliumia sana. Niliwaza, nikaomba msamaha, nikaomba...
44 Reactions
261 Replies
24K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…