Wanajamvi nmeamini mapenz yanauma sana kwa mtu uliyempenda alafu akakutenda. Niende moja kwa moja kwenye kisa kilichonikuta.
Nlikututana na dada mmoja nikiwa chuo 2014 nikiwa mwaka wakwanza na tulitokea kupendana kwel mpaka tunamaliza wote chuo 2017. Kipind cha graduate nkamtambulisha kwenye familia yetu na ndo alikuwa mtu wakwanza mm kumtambulisha kwetu kwa sababu nilikuwa na malengo nae. Bas mwaka 2018 yeye akawa anakaa dsm nyumban mm naish arusha nyumban huku nikiwa na mishe zang za hapa na pale za kujipatia kipato(sjaajiriwa) ila yy akapata kibarua mahal bas tukaendelea vizur tu. Ilipofika mwez november 2018 nikaona ni vema na mm nihamie dar na shughul zang nizihamishie dar ili huyu dada nisimuumize na aone kila nachokifanya kama mke. Bas tukatafuta nyumba tukaish pamoja kutokea tar 23 nov na yeye akahama kwao na kuish na mm. Sasa kimembe kikaanza tar 16 dec 2018 ambap tulitoka kwenda beach flan hapa dsm ndo nlipogundua kuna mtu anachat nae nkamuuliza huyu unaechat nae ni nan akaniambia ni mteja wa kazin kwao. Nnkajiridhisha bt nkaanza kumfuatilia taratibu huku namuuliza anakataa. Bas tar 23 dec sku hyo jpil asubuh nikatoka asubuh na yye akatoka mm akaniambia anaenda kwa fund wanguo mwananyamala mara tupo kwenye gar anachat na yule jamaa kisir sir nmekaa kidogo tumeachana mm nkaenda na shughul zang nampigia simu yake haipatikan napiga na nyingine nayo haipatikan nkajua hapa tayar mwanamke ameenda kugawa uroda. Niliumia nkajikaza karud usiku namuuliza ananisanganya kushika simu yake naona kidume kinaandika sms " asante mamy" nlijikuta nagawa kipigo kwa huyu mwanamke ndo akanyoosha maelezo bac asubuh nkaenda na shughul zang jioni mwanamke akaomba msamaha yakaisha nkampigia yule kijana nkamwambia aachane na mwanamke wang akakubal akasema alikuwa hajui bas nikajua yameisha. Mwaka mpya nlisafir kwenda mkoan nkamwacha yy pale nyumban kurud kumbe mambo yanaendelea mm sijui chochote mwanamke ananikumbushia mambo ya 2015 chuon mara nlikuwa simpend simjal amepata mtu wakumjal sikuenda kwao kujitambulisha rasm ndo maana anafanya hiv nkamshaur anakuitikia ameelewa mambo anafanya kisiri siri. Sasa zikaanza akitoka kazin anachelewa kurud mpaka sku 3 usiku ndo apike nkaona hapa nikifikiria sana najiumiza nkaanza kujitoa out mwenyew huku yy namwangalia tu. Bas nkasafir tar 17 kwenda Nairobi. Zikaanza dharau hanitafuti akinitafuta hamna salamu ni maelezo tu nkamwonya anajifanya amechanganyikiwa. Nikarud dar tar 28 nilichelewa sana nkalala kwa rafik yang. Asubuh namwambia nlichelewa skuweza kufika nyumban ananiambia amehama jana yake. Nkaona utani nkachana na ratiba zang nkaenda pale tulipopanga kwel nakuta hamna chochote ila begi tu la nguo. Namuuliza ananiambia kwenye vtu kuna jasho lake na ameamua kuchukua akaviuze vingine ili ajazie apeleke kwao kuna ujenz kisa sjampa fedha ndo maana kaamua hvyo ( baasa ya kugombana kuna fedha alizitaka zilikuwa kwenye acc yang nkamwabia mpaka nirud) ila kabla sjaondoka kwenda nairob kuna siku alikuwa anaongea na simu kutafuta chumba ila skutilia maanan. Sasa kwenye ushaur wenu huyu dada pamoja na yote aliyoyafanya kuna fedha za kwenye acx yang 4mil anazitaka nazo nimpe ambazo aliziiba kweny kampun zikawekwa kweny acc yang ndo najikifiria kwa ukatil alionifanyia nimpe? Maana na yeye kahama na vitu vyote mpaka na vingine vilivyobak nguo sjaziona wala nn. Naomben ushaur wenu japo nmejitahid kufupisha maana matukio ni meng sana nliyofanyiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app