Kuongezeka kwa suala la ushoga vyuo vikuu Tanzania

Starboywiz

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
867
1,441
Habari wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada...

Sijui kama mimi ndo mgeni/mshamba au vipi, lakini naona hili suala la ushoga limeshamiri sana kwa vijana wa kiume hasa katika vyuo vikuu Tanzania.

Mimi ni mwanafunzi pia, ni zaidi ya mara moja nimekutana na matukio yenye chembechembe ndani yake, nitahadithia moja baada ya jingine...

#1
Hili tukio lilitokea kipindi naanza mwaka wa kwanza, nilijaribu kufanya kaujasiriamal ka kuuza asali kwa washkaji pale chuoni hivyo nilikua nikiwatangazia kwenye group la WhatsApp la chuo. Mojawapo ya porojo nilizokua natumia kupiga promo hiyo bidhaa yangu nilikua nawaambia kuwa inaongeza nguvu kwenye (bobini/mshededee) na kuongeza stamina ya kupiga game.

Kuna jamaa akani inbox na nikafikiri ni kwa ajili ya biashara, nikawa nachat nae basi mshkaji akaniuliza kama naishi hostel au nipo gheto nkamjibu nakaa ghetto akasema atakuja tufanye biashara.

Siku moja akanitxt kuniuliza kama niko chuo au bado home nikamjibu kuwa sina ratiba ya kwenda chuo kwa siku hiyo, akatania kuniuliza kama niko na "shemeji auu" mi nikamjibu kuwa niko mwenyewe tuu akaniomba nimuelekeze ghetto aje. Mi nikajua ni kwa ajili ya biashara so nikamuelekeza na akafika,

Alivoingia moja kwa moja akaja akakaa kitandani, akaanza kuniuliza "vipi asali unayouza si nawewe huwa unaitumia?" Nikamjibu ndio akasema 'kwahyo nawewe imekufnyia ile kazi?' Kumuuliza ipi akakumbushia ile porojo yangu..mi nikamwambia sijuii, mara jamaa akaanza kulegeza sauti na limwili kajilegeza, mara ajifnye katelezesha mkono bahati mbaya kanishika kwenye mjulubeng...jinsi navochukia mashoga nilipata hasira kinoma, nikaona mengi yasiwe mambo nikamtimua vikali pale ghetto....

#2
Hili lilikuja kunitokea miezi kadhaa baadae, kuna jamaa tulikutana chuoni. Kwa mujibu wa kumbukumbu zangu sikuwahi kumuona hapo kabla, ila yeye alinisalimia kwa kunichangamkia kinoma as if ananifaham..nikaona isiwe kesi basi na mimi nikafake uchangamfu kwani nilihisi kuwa inawezkna jamaa tunafahamiana ila ni mimi tuu ndo nimemsahau.

Basi baada ya hapo tukawa kila tukikutana tunasalimiana vizuri tuu lakin bado till this stage sikuwa nimefanikiwa kukumbuka kama nilishawahi kukutana nae hapo kabla.

Kuna siku nimekutana nae getini natoka chuo yeye ndo anaingia, akaniuliza eti mbona sipatikani au namba nilishabadili (nilishangaa mana hajawahi kuwa na namba yangu wala mimi kuwa na yake) ikabidi niendelee kutembea na nadharia ile ile kuwa inawezkna nimesahau tuu ivo nikamwambia tuu kwamba ndio nilibadili, akasema anipe ya kwangu basi...ili mambo yasiwe mengi nikamwambia namba yake ninayo nitamtafuta jamaa akataka nimpe simu aangalie kama kweli ninayo mana nae 'ana namba nyingi' hapo nikakwama mana kiukwl sikua nayo so nikamjib kuwa nimeisev kwenye simu kubwa na sijatembea nayo mwana akang'ang'anie kuwa basi nimpe simu asev kwenye simu ndogo, nikampa simu akajitumia txt...

Baada ya hapo mawasiliano yakaendelea, akawa anatuma txt na kupiga mara kwa mara. Nikaanza kumuepuka mana kila txt akituma lazima aandike "my" au aseme "nimekumiss" dah nikahisi litakua punga hilii...

Siku moja tumekutana chuo jamaa akaanza kujilalamisha eti "my mbona hupokei simu na mesej hujibu? Mi nakumiss" oush nikamwambia nilikua bize kdg, hata mda huu niko bize so ntamtafuta badae likakubali kiunyonge.

Kuna siku nipo misele yangu jamaa kapiga simu, akaniuliza niko wpi nikamjibu akanambia hapo ni karibu na kwake so kama vipi niende nikaoajue, nikaona sio vibaya kupafaham hom kwa mwana nikafika. Nikashangaa mapozi ya jamaa anavokaa, mara abinue kishungi basi ikabidi niage...badae akatuma txt analalamika et 'my mbona umewahi mi nilijua utakaa mpaka saa mbili mbili' nikamjibu nikipata tym nitaenda wkend saiv niko bize, huku moyoni nikijiapiza kuwa siwez hata kujibu au kupokea simu zake huyu jamaa mana nlishaanza kumhisi vibaya.

Wkend ilipofika akaanza kupiga simu sana, anatuma msj kama nini yan. Nikawa sijibu wala kupokea. Kilichokua kinanikera ni lile neno my kila txt ikabidi nimuulize "what's your sexual orientation" daah alichonijibuu.......(nitaweka screenshots hapo chini)

#3
(Hii haikua chuoni lakini)
Kuna harakati moja ya hip hop huwa inafanyika mtaani kwetu kila mwisho wa wiki, watu wanakusanyika kunapigwa mziki, wachanaji wanachana, wa kushindana freestyle wanashindana na kulikua na session ya speech.

Kwahyo kila mwisho wa wiki nilikua nafika pale, kuna siku jamaa nilikua nimewahi kidogo kabla ya muda hivyo ikabidi niende jiran kidogo na ebeo la tukio (kama hatua kumi) kuna lounge flan hivi, nikaagiza kilaji nikawa nakunywa taratibu..kuna jamaa akasogea, ghafla tukaanza kupiga strori za hapa na palee

Mda wa tukio ulipofika nikajisogeza karibu, nae jamaa akasogea. Tukaja kugundua kuwa wote tunafatilia hizo harakat na ni wapenzi wa old school hiphop. Basi tukawa tumezoeana sana kwa muda mfupi, ikafika time kabla ya kufunga jamaa akatoka mara moja kisha akarud baada ya dakika kama tano hivi, akanambia kuna mtu ana shida hapo mbele..nkamuuliza shida gani, akasema kuna jamaa anataka kuinamishwa ana elfu 50 vipi utaweza? Nikamjibu ndio ntaweza (sikua na lengo la kufnya ivo, nia yangu nikamuone huyo jamaa)

Tukatoka hapo, kufika mbele kidogo jamaa akasema ni yeye ambaye anataka ila aliogopa kunambia moja kwa moja mana hakujua nitalichukuliaje, nikatukana tusi moja nikasepa zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni sample chief, mashoga wako wengi sana huku mitaani kwa wingi huo wengine mpaka wanafika chuo. Hakuna mtu anayekubali kujihusisha na hayo mambo, hata wanaume wanaowakula mapunga hukaa na kudiss mitandaoni. Inafikia kipindi utamani Mungu akupe watoto wa kike tu aisee.
 
Ujinga ni kufikiri kwamba una akili sana. Ukweli ni kwamba, wewe ni mpumbavu na unahitaji elimu.

Hivi huko shule mnasomea ujinga?

OK... Labda nikueleze tu, jaribu kuwa na akili japo nusu kijiko! Usihukumu watu bila kujua wanayoyapitia.

Haufahamu anahisi nini, anafikiri nini, anapitia changamoto zipi, kwanini yeye ni shoga, na kwanini kakufuata wewe!

Umeamua kumrukia tu na kumtusi, haumfahamu, wala haujahangaika kumfahamu, na hauhitaji kumfahamu. Vizuri sana.

Ni busara kumwambia sikuhitaji, ama sijihusishi na vitendo hivyo. Yatosha.

Usimkejeli. Haufahamu anapitia yapi.
 
Mkuu inaonekana una nyota na hao jamaa

Unaweza ukashanga na pm zimeanza kuingia

Pole sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unatetea upumbavu...
Ujinga ni kufikiri kwamba una akili sana. Ukweli ni kwamba, wewe ni mpumbavu na unahitaji elimu.

Hivi huko shule mnasomea ujinga?

OK... Labda nikueleze tu, jaribu kuwa na akili japo nusu kijiko! Usihukumu watu bila kujua wanayoyapitia.

Haufahamu anahisi nini, anafikiri nini, anapitia changamoto zipi, kwanini yeye ni shoga, na kwanini kakufuata wewe!

Umeamua kumrukia tu na kumtusi, haumfahamu, wala haujahangaika kumfahamu, na hauhitaji kumfahamu. Vizuri sana.

Ni busara kumwambia sikuhitaji, ama sijihusishi na vitendo hivyo. Yatosha.

Usimkejeli. Haufahamu anapitia yapi.
 
Ujinga ni kufikiri kwamba una akili sana. Ukweli ni kwamba, wewe ni mpumbavu na unahitaji elimu.

Hivi huko shule mnasomea ujinga?

OK... Labda nikueleze tu, jaribu kuwa na akili japo nusu kijiko! Usihukumu watu bila kujua wanayoyapitia.

Haufahamu anahisi nini, anafikiri nini, anapitia changamoto zipi, kwanini yeye ni shoga, na kwanini kakufuata wewe!

Umeamua kumrukia tu na kumtusi, haumfahamu, wala haujahangaika kumfahamu, na hauhitaji kumfahamu. Vizuri sana.

Ni busara kumwambia sikuhitaji, ama sijihusishi na vitendo hivyo. Yatosha.

Usimkejeli. Haufahamu anapitia yapi.
Aiseeee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku nyingine nilikuwa night club ukonga pale big johns nacheza mziki nikashangaa dogo fulani kunisogezea kiuno huku akikatika halafu pichu yake inaonekana kidogo coz alifaa shati fupi,mwanzoni nilijua ni demu coz mwanga ulikuwa hafifu but baadae nikangundua alikuwa male ,daa nilisepa muda huko huo
 
First time nipo o level kuna jamaa aliniandikia barua ya mapenzi nikakausha mpaka naondoka pale

Second time ,nilikuwa advance nyanda za juu kusini kuna dogo akawa ananitumia picha fb nikamblock

Mwaka wa kwanza chuo kuna mzenji mmoja alininunulia viatu baada ya muda akaninunulia manukato ,after one month jamaa akaniambia ananipenda,aisee nilihama geto

Sie tuliochukua sura za Dada zetu Mara nyingi tunasumbuliwa sana na machoko wakizani na sisi ni memba,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga ni kufikiri kwamba una akili sana. Ukweli ni kwamba, wewe ni mpumbavu na unahitaji elimu.

Hivi huko shule mnasomea ujinga?

OK... Labda nikueleze tu, jaribu kuwa na akili japo nusu kijiko! Usihukumu watu bila kujua wanayoyapitia.

Haufahamu anahisi nini, anafikiri nini, anapitia changamoto zipi, kwanini yeye ni shoga, na kwanini kakufuata wewe!

Umeamua kumrukia tu na kumtusi, haumfahamu, wala haujahangaika kumfahamu, na hauhitaji kumfahamu. Vizuri sana.

Ni busara kumwambia sikuhitaji, ama sijihusishi na vitendo hivyo. Yatosha.

Usimkejeli. Haufahamu anapitia yapi.
Naona wamekutakania wachumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom