Msaada wa ushauri unahitajika tafadhali.

Msaada wa ushauri unahitajika tafadhali.

Twinawe

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2016
Posts
2,552
Reaction score
5,675
Rafiki yangu kapanga chumba na sebule anaishi na mkewe.

Anatarajia kupokea wageni ambao ni wazazi wake toka mkoani watakaa kama week wanakuja kwenye harusi.

Jamaa anawaza wazazi wakifika umo ndani walale vipi ukizingatia wote wanandoa.

1.wazazi walale sebuleni wao chumbani kama kawaida.

2.wazazi walale chumbani wao wahamie sebuleni kwa mda.

3. Mke na mama mkwe walale chumbani baba na kijana walale sebuleni.

4.wanaume chumbani wanawake sebuleni.

Ushauri tafadhali wapendwa.
 
Nyumba za wageni wamejengewa watu kama hao;laki 2 tu inatosha kuwalaza wazazi wake sehemu nzuri.
 
Haya mambo ndio nilishayakataa maishani mwangu, sitaki kusumbua uhuru wa mtu sababu ya ugeni wangu kwake. Afanye anavyoona yafaa kufanya.
 
Jamii nyingine ukifanya hivyo unaonekana huna upendo unanyanyapaa hata kama una chumba kimoja wakaja kumi wapokre nyumba huwa haijai
Unaweza kuwapokea,kama ni sehemu ya kupanga unaweza kusababisha jam hata msalani na ukawa ni kero.
 
Hapo inabidi ndoa zao zikae pembeni kwanza walale kufuata jinsia. Hata hivyo wazazi nao hawana hekima samahani lakini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom