Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa tuliobahatika kukutana na Wanawake wenye akili katika maisha yetu tutakuwa mashuhuda, huwa ni raha sana. Hawa Wanawake hawachoshi kabisa, muda wote unatamani awe karibu, anajali sana nafasi...
48 Reactions
270 Replies
28K Views
Wanaume ambao hamjaoa, huyu binti anatafuta mchumba.
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za wakati,husika na kichwa hapo juu,natafuta mwanamke ili awe mpenzi,awe anaishi dar,awe anafanya kazi umri kuanzia miaka 32 na kuendelea......Mimi Nina miaka 26 ninafanya kazi na najiweza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanawake mnatabia ya kutunyima uroda kwa kisingizio kwamba mmechoka au mmkiwa tumewakwaza hata kiduchu. Nawaambia ukweli huwa mnatukera zaidi ya kuwekewa pilipili machoni... msije siku mkashangaa...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Hi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
790 Views
Habari zenu wana MMU. Kiukweli katika ukoo wetu wote hakuna mwanamme aliyeowa mwanamke mzuri kunizidi mimi, yaani kaka zangu, wajomba na macousins wote wake wao ni wakaida sana, ni mm ndo...
9 Reactions
153 Replies
11K Views
Kuna mtu anamtumia sms mpenzi wangu anamwambia “ndege wafananao huruka pamoja”... kama uko humu mtumie na nyingine umwambie jinsi mtakapaa pamoja kwenda ahera siku tego langu nililoandaa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu. Muda kidogo nilipiga deal flan na limelipa nimeingiza 25M kwa mtaji wa 2M tu kwa muda wa miezi miwili. Nimetenga 6M kwa kure-invest, 8M for savings, 5M for normal expenses...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Wakuu najua Kuna watu watanidhikaki lakini nimepewa agizo na Baba Kua Dada asitoke nyumbani usiku! Naombeni mnipe mbinu za kumlinda Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Mimi ni mbahili mno yani mpaka mwenyewe najishanga hii tabia nimerithi kutoka wapi yani hata mke akiniomba hela hapati mpaka nimsimange vya kutosha na hatapata kwa wakati hata kama jambo lenyewe...
5 Reactions
90 Replies
12K Views
Ndugu zangu wana JF. Nawasalimia wote kwa mpigo. Ni katika harakati zangu za tafiti za kisayansi. Leo nawaletea utafiti wangu niliouanza mwaka 2001 mpaka 2017. Kwanza nimetumia scientific...
3 Reactions
85 Replies
20K Views
Writer: Unknown My first love was a moonlight to chase darkness She was a sweet orange to perish bitterness My only golden happiness to execute sadness She was only one to make me not hopeless My...
1 Reactions
2 Replies
735 Views
Hello guys, Nakumbuka tukiwa O-level mwishoni, kulikuwa kuna couple moja bomba kabisa ambayo kwa akili za kipindi kile kiukweli tulikuwa tunaitamani, Maana ilikuwa na show-off inayobamba hasa...
12 Reactions
92 Replies
9K Views
Ukishafikia stage hiyo basi ujue hamna kitu hapo, mahusiano hayana afya muda wowote lolote laweza kutokea aidha kifo, kuwa zezeta au kuharibikiwa moja kwa moja
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini za muda huu wanajf,, kuna kitu kinanitatiza sana hasa katka ulimwengu huu wa sasa ambapo tunaona hali inazidi kuwa mbaya tu kila kukicha,tunashuhudia ndoa nyingi zikivunjika wanawake...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
# Repost. suzanbernardtz Nimewahi kuwa kwenye mahusiano na mwanaume ambaye wakati tukisokotana ikifika muda wa yeye kumwagika alikuwa anapiga kelele sana hadi ilikuwa inabidi kumziba mdomo...
2 Reactions
30 Replies
8K Views
"Awesome God" (originally by Rich Mullins) When He rolls up His sleeves He ain't just puttin' on the Ritz (our God is an Awesome God) There is thunder in His footsteps And lightning in His fists...
39 Reactions
302 Replies
51K Views
Wadada wa siku hizi mnakera sana, yaani mnchakulia vitu kirahisi rahisi tu! Mtu unakaa mwenge, nakutumia elfu hamsini ili uje getto Tabata tutazamane tu? Hiyo biashara ipo kweli Dunia hii? Getto...
10 Reactions
48 Replies
5K Views
Vijana WEngi tunaingia kwenye mahusiano bila kujiuliza haya maswali yafuatayo, 1.kwanini naingia kwenye mahusiano,ni mkumbo,au wakati unaenda mbio(umri),au shinikizo toka kwa jamii(wenzio wameoa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mwanamke mmoja nchini Zimbabwe alipona kubakwa baada ya mbakaji kushindwa kumuingilia. Dada huyo alipewa lifti na jamaa mmoja mjini Bulawayo akiahidi kumfikisha mahali alipokuwa anaenda. Lakini...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…