Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

mara ya mwisho kupata huduma ya sex ni tarehe 8 Aprili kutoka kwa mpenzi wangu. yeye anasoma chuo mkoani na kuonana naye imekuwa shida ukizingatia hali ngumu ya maisha siwezi kumtumia nauli aje au...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Dada zetu huu uzi ni kwa ajili yenu, wanaume fanyeni utafiti utajua demu wako hapend uwe na rafik kisu kushinda yeye hapa mtakwaruzana sana ila ukiwa na ambaye haelewek huji kuta anaongea. . ...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilikua na mchumba wangu, tulipendana kama chama choma alibahatika kwenda ngambo, chuo kikuu kwenda kusoma, miaka mitatu kule Japani kusomea udakitari, Stella wangu ehhh.×2 Nilivyo mpenda Stella...
5 Reactions
31 Replies
15K Views
Sijui ni nani amewafundisha hii mbinu ya Kibiashara inayokera na ‘ sometimes ‘ kutudhalilisha sana Sisi Wanaume ‘ Choka Mbaya ‘ au ‘ Apeche Alolo ‘ pale unakuta umemdaka Demu halafu ukaamua tu...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Siyo mwenyeji sana ni mgeni tu wa kama mwezi mmoja hivi naona ameshauzoea mtaa na watu wake anataka kunizoea na mimi mr Zero IQ kwa kasi ya 4G, Muda si mrefu kamepita hapa kanaenda magegeni...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
NATAMANI pia wake wote wangekuwa kama huyu NDANI YA CHUMBA CHA BINTI WA KAZI [house girl] Baba anavamiwa na pepo wa ngono anajikuta anawaka tamaa kwa binti wa kazi ambaye ni kama mtoto wake wa...
12 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari za muda wanajamvi...hopping wikend yako hapo ulipo inakwenda vizuri. Niende kwenye mada bila kupoteza wakati Kwa kawaida mpenzi wako kukwambia kwamba Leo katongozwa na flan ..ni lambo la...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Wadau, Nina mchumba wangu ambae nampenda sana, nimekua nae kwa mwaka mmoja sasa, ila nashindwa kufunga nae ndoa kutokana na mlolongo na mipango ya kifedha so unakuta mara nyingi naihirisha tarehe...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Yamemkuta Rafiki yangu anahitaji ushauri. Ipo hivi!!!! Alikuwa na mwanamke wake kwa kipindi cha miaka mitatu. Akawa akimpa huduma zote. Kwa kiburi chake, mwanamke akamuacha rafiki yangu...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu, Jamani jamani leo asubuhi nilitoka nyumbani kidogo kama lisaa hivi. Ile nimerudi nakuta dada(house girl) na kaka ( houee boy) wanakazana sebleni wako bize kabisa mweeh. Aibu...
15 Reactions
278 Replies
23K Views
Habari Mrembo Ningependa kumkaribisha mrembo mmoja kwa offer ya Pasaka. Natarajia kwenda Zanzibar kwa ajili ya mapumziko ya Pasaka. Ningefurahi sana kama nitapata m-dada ambaye yupo...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Nilitegemea huyo mama angemkemea huyo dogo walau hata kwa kumtwanga na mche wa kutwangia..,lakini wapi..
0 Reactions
74 Replies
10K Views
Mapenzi hayachagui
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari, mm ni mwanaume umri miaka 25 natafuta mpenzi wa like umri 20-24 awe anatokea iringa ili iwe rahisi kuonana., mm nipo Iringa. Namba yangu 0768448352 mengine tutaelekezana inbox Sent using...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana MMU Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyouliza je unapeda kufanya mapenzi muda gani na ukayafurahia? Demiss kama mimi napenda kufanya mapenzi usiku kuanzia mida ya saa 4 mpaka saa...
25 Reactions
520 Replies
80K Views
0 Reactions
1 Replies
738 Views
Aziza alikuwa binti mrembo, ule urembo wa kustua mioyo ya wanaume. Rangi ya African Queen, ngozi nyororo na tambo la mwanamke halisi wa ki-Africa. Aziza ni career woman, na atafika mbali sana...
13 Reactions
55 Replies
5K Views
Wazima humu Natafuta mtu wa kunisitiri maana naona hali yangu c hali tena na swala la kuzini silihitaji kabisaaa masikioni mwangu Najikuta napoteza watu wengi ambao wananihitaji kimapenz Ila...
39 Reactions
289 Replies
29K Views
Habari za saa hizi ndugu zangu. Napenda niwape ushauri vijana wenzangu kabla hujakubali kuishi na mtu mpaka kufikia kuzaa nae ni vyema mkafunga ndoa kabisa kwa maana itawasaidia kupata baraka...
8 Reactions
27 Replies
4K Views
Habarini wakuu katika pilika zangu za maisha nimebahatika kupata mchumba mwenyeji wa pemba muislamu safi. Sasa mimi mkiristo yeye anataka mimi nibadilishe dini niende uislamu lakini mimi sitaki...
1 Reactions
99 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…