Stella Wangu - Freshly Mwamburi

Nakapanya

JF-Expert Member
May 22, 2012
2,096
709


Nilikua na mchumba wangu, tulipendana kama chama choma alibahatika kwenda ngambo, chuo kikuu kwenda kusoma, miaka mitatu kule Japani kusomea udakitari, Stella wangu ehhh.×2

Nilivyo mpenda Stella jamani kajitolea kwa roho moja, nikauza shamba langu, sababu yake yeye, Nikauza gari langu, sababu yake yeye nikauza Ng'ombe na mbuzi sababu yake yeye, Ili apate nauli yake na pesa nyngine za matumizi kule Japani Ilikua tarehe kumi na saba mwezi wa tano, ilikua tarehe kumi na saba mwezi wa tano, ndiyo lokua tarehe kamili ya Stella kurudi Kenya.


Nilikua baziri mwa Kolomba na mkewe na watoto wake, nilikua uncle Mshomba wa mdundonyike tuveluva,


Nilikwenda uwanja wa ndege kwenda kumlaki Stella,
nilikua na uncle Kilinda uwnaja wa ndege,
Nilikua baziri mwa Kolomba na mkewe na watoto wake,
nilikua uncle Mshomba wa mdundonyike tuveluva,
Nilikua na ndugu Afisi mtoto wa Mombasa.

Ghafla ndege lipotua uwanajani tuliona vituko, Stella alishuka amebeba mtoto mkononi, nyuma yake mchumba wake mfupi, futii nne Mjapani, Nilisikitika ndani ya moyo nikakosa la kufanya Nilitamani nilie Kikamba lakini si kijui, ilibidii nilie Kijaluo" angatima ngo wachoa", Freshley, nilitamani nilie Kiindi lakini si kijui, ilini bidii nilie Kitaita lugha ya mama na baba, ilini bidii nilie Kitaiata, "beke mwana niponyebanda, Freshley".

Nilikua na mchumba wangu, tulipendana kama chama choma alibahatika kwenda ngambo, chuo kikuu kwenda kusoma, miaka mitatu kule Japani kusomea udakitari, Stella wangu ehhh.×2

Nilivyo mpenda Stella jamani kajitolea kwa roho moja, Nikauza shamba langu, sababu yake yeye, nikauza gari langu, sababu yake yeye, nikauza Ng'ombe na mbuzi sababu yake yeye, ili apate nauli yake na pesa nyngine za matumizi kule Japani. Ilikua tarehe kumi na saba mwezi wa tano, ilikua tarehe kumi na saba mwezi wa tano, Mwaka elfu moja tisamia tisaini na mbili, ndiyo lokua tarehe kamili ya Stella kurudi Kenya, Nilikwenda uwanja wa ndege kwenda kumlaki Stella, nilikua na uncle Kilinda uwnaja wa ndege, Nilikua baziri mwa Kolomba na mkewe na watoto wake, nilikua uncle Mshomba wa mdundonyike tuveluva,

Nilikua na ndugu Afisi mtoto wa Mombasa, ghafla ndege lipotua uwanajani nliona vituko. Stella alishuka amebeba mtoto mikononi, nyuma yake mchumba wake mfupi, futii nee Mjaipani, Nilisikitika ndani ya moyo nikakosa la kufanya Nilitamani nilie Kikamba lakini si kijui, ilibidii nilie Kijaluo" angatima ngo wauchoa", Freshley. Nilitamani nilie Kiindi lakini si kijui, ikani bidii nilie Kitaita lugha ya mama na baba, ilini bidii nilie Kitaiata, "beke mwana niponyebanda, Freshley". Iyooo, yoo, yoo, yoo, I love you Stella mami×2 Come back, come back Stella I still need you baby Nikwendetete nyama kuivivya Stella kindu wakwa, Nikwendetete nyama kuvivya, ya kuvulania na kachumbari, Ukava kuvi nakwa Stella, linda unguune kisi, ukava kuvi nakwa Stella linda unguune kisi, Nakupenda kama choma Stella mpenzi wangu, nakupenda kama nyama choma Stella mpenzi wakwa Ukava kuvi nakwa Stella linda unguune kisi, Nikwendetete nyama kuvivya, ya kuvulania na kachumbari Come back, come back Stella I still need you baby×2 Kwanini kunichenga chenga hivyo Stella kama mpira uwanjani×3.

My Take...

Stella alimuumiza sana huyu Jamaa.
Usaliti unauma sana.
 
Unaitwa stella. Umeimbwa na msanii mmmoja kenya. Nikiupata ktk library yangu nitapost..
 
Wadau naomba kwa yeyote anayejua jina la wimbo na msanii kutoka kenya aliyeimba wimbo wenye maneno kama yafuatayo;
"Nilikua na mchumba wangu tulipendana kama nyama choma",
ni wimbo unaoelezea kisa cha mtu na mpenzi wake,jamaa kasalitiwa na demu wake baada ya kumsaidia kumpeleka japan kusoma.

Naupenda sna wimbo huu so kwa yeyote anayeujua tafadhari naomba unijuze.


MSANII-FRESHY MWAMBURI

WIMBO:STELLAH.

Nimeshindwa kukuwekea hapa
 
Nashukuru sana wadau nimeupata wimbo huo na sasa nausikiliza muruaaaa
 
Bonge moja ya wimbo..siku nikichafukwaga naweka hizi nyimbo za zilipendwa asubuhi hadi jioni
 
Daah hizi nyimbo zinanikumbushaga mbali hasa kuwakumbuka ndugu na jamaa waliotangulia mbele za haki,maana enzi hizo tulikua pamoja tunasikiliza nyimbo za aina hii kwa furaha na maongezi ya hapa na pale.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Na bado kuna wa kiume wajinga wanasomesha wachumba nadhani ni kwa sababu huu wimbo hausikiki kwenye radio stations. We much with the time!
 
Bonge moja la wimbo!
Unanikumbusha ofisi yangu ya kwanza kuajiriwa nilikuwa na huu wimbo kwa PC nimetoswa na mchumba nikawa nausikiliza tena na tena!
 
Jamani humu ndani hakuna anayenikuta kwa kupenda zilipendwa mpaka huwa wananiuliza nilizijulia wapi kina the mash
Rooms ,salumu abdalah,mbarak mwinsheh, and the likes ndio wako kwenye list ya the most played zangu huu wimbo Wa Stela ndo usipimie hiyo beat tu kwanza halafu pale anasema futi NNE mjapan lazima nichekage looooo jaman ...nilitaman nilie kijaluo hahahaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom