Ni wanaume wangapi wanayaweza haya?

Ni wanaume wangapi wanayaweza haya?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,639
Reaction score
220,424
Aziza alikuwa binti mrembo, ule urembo wa kustua mioyo ya wanaume. Rangi ya African Queen, ngozi nyororo na tambo la mwanamke halisi wa ki-Africa.

Aziza ni career woman, na atafika mbali sana kwani akiwa na miaka 27 alishapata shahada ya uzamili.

Kijana Shingo alimpenda sana Aziza. Shingo ndiyo alikua amemaliza ujenzi wa nyumba yake na kuhamia mitaa ya Papai.

Siku ya kwanza kufanikiwa kuongea na Aziza ni alipomkaribisha achote maji kwake kwani Shingo alikuwa na kisima. Kufupisha habari mtongozo ulifuatia. Aziza alisema hawezi kujiingiza kwenye mapenzi kwani ana ujauzito wa miezi miwili na Baba mtoto alipata ajali na kufariki.

Shingo alikubali majukumu yote na kutoa posa kwa wazazi wa Aziza.
 
Aziza alikuwa binti mrembo, ule urembo wa kustua mioyo ya wanaume. Rangi ya African Queen, ngozi nyororo na tambo la mwanamke halisi wa ki-Africa.

Aziza ni career woman, na atafika mbali sana kwani akiwa na miaka 27 alishapata shahada ya uzamili.

Kijana Shingo alimpenda sana Aziza. Shingo ndiyo alikua amemaliza nyumba ujenzi wa nyumba yake na kuhamia mitaa ya Papai.

Wengi (zaidi ya wawili)
 
Jamani hamnaga hao, hakunaga hao hata ukizaa tu unalipata libwana unaeleza ndoto zako nataka uwe mfano kwa mwanangu anakujibu kwani hana baba zake wadogo? au baba wa ubatizo (kama vile madhehebu yote yana baba wa ubatizo)

Hongera kwa Aziza.
 
Hapo hakuna ugumu wala ubaya coz aliyempa ujauzito kafariki....mbona hiyo iko sawa tena MTT namlea kwa heshima na mapenzi yote
 
Aziza alikuwa binti mrembo, ule urembo wa kustua mioyo ya wanaume. Rangi ya African Queen, ngozi nyororo na tambo la mwanamke halisi wa ki-Africa.

Aziza ni career woman, na atafika mbali sana kwani akiwa na miaka 27 alishapata shahada ya uzamili.

Kijana Shingo alimpenda sana Aziza. Shingo ndiyo alikua amemaliza nyumba ujenzi wa nyumba yake na kuhamia mitaa ya Papai.

Siku ya kwanza kufanikiwa kuongea na Aziza ni alipomkaribisha achote maji kwake kwani Shingo alikuwa na kisima. Kufupisha habari mtongozo ulifuatia. Aziza alisema hawezi kujiingiza kwenye mapenzi kwani ana ujauzito wa miezi miwili na Baba mtoto alipata ajali na kufariki.

Shingo alikubali majukumu yote na kutoa posa kwa wazazi wa Aziza.
Hoja fikirishi, ila leo tuna battle of Johns, akili ziko huko kwenye ufunguzi
 
Aziza alikuwa binti mrembo, ule urembo wa kustua mioyo ya wanaume. Rangi ya African Queen, ngozi nyororo na tambo la mwanamke halisi wa ki-Africa.

Aziza ni career woman, na atafika mbali sana kwani akiwa na miaka 27 alishapata shahada ya uzamili.

Kijana Shingo alimpenda sana Aziza. Shingo ndiyo alikua amemaliza nyumba ujenzi wa nyumba yake na kuhamia mitaa ya Papai.

Siku ya kwanza kufanikiwa kuongea na Aziza ni alipomkaribisha achote maji kwake kwani Shingo alikuwa na kisima. Kufupisha habari mtongozo ulifuatia. Aziza alisema hawezi kujiingiza kwenye mapenzi kwani ana ujauzito wa miezi miwili na Baba mtoto alipata ajali na kufariki.

Shingo alikubali majukumu yote na kutoa posa kwa wazazi wa Aziza.
Wanaume wote wanaweza labda wavulana tu
 
Jamani hamnaga hao, hakunaga hao hata ukizaa tu unalipata libwana unaeleza ndoto zako nataka uwe mfano kwa mwanangu anakujibu kwani hana baba zake wadogo? au baba wa ubatizo (kama vile madhehebu yote yana baba wa ubatizo)

Hongera kwa Aziza.
Kwa nn usingempongeza kijna shingo kwa kukubali kubeba boga na ua lake?
 
Kama nimzuriii nanimempenda me nakubali ila nikijiridhisha kweli mwenye mimba alishafariki
 
Jamani hamnaga hao, hakunaga hao hata ukizaa tu unalipata libwana unaeleza ndoto zako nataka uwe mfano kwa mwanangu anakujibu kwani hana baba zake wadogo? au baba wa ubatizo (kama vile madhehebu yote yana baba wa ubatizo)

Hongera kwa Aziza.
Kama nakufananisha vile?
 
Ningekuwa mimi Aziza namfanya huyo ndio baba mzazi wa mtoto, nafanya huyo aliyekufa alikufa pamoja na mtoto wake
 
Back
Top Bottom