Kuna wengine wanaokerwa na hawa watu au ni mimi tu peke yangu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,454
108,565
Sijui ni nani amewafundisha hii mbinu ya Kibiashara inayokera na ‘ sometimes ‘ kutudhalilisha sana Sisi Wanaume ‘ Choka Mbaya ‘ au ‘ Apeche Alolo ‘ pale unakuta umemdaka Demu halafu ukaamua tu kwenda nae Kuzuga katika Baa iliyopo jirani halafu unaona wale Wamachinga wauza Nguo za Kike wanaanza Kufurika kuja Kwako huku wakimringishia zile Nguo huyo Demu ili anunue au Mimi nimnunulie wakati huo na Mimi mfukoni nina Nauli tu ya Kondakta na kunirudisha Bunju kama siyo Mbweni.

Sasa haya Mamachinga yanavyoudhi na kukera unaweza ukamtonya kwa Kumbinya Mguuni kuwa auchune asepe zake kwani huna Hela au ukamminyie Jicho Kishkaji kuwa ondoka unaniumbua kwa huyu Demu na lenyewe sasa ndiyo Kwanza linaanza Kuchomoa kwa Makusudi zile Nguo nzuri nzuri ili kuzidi Kumtamanisha Demu wako ananunue au nimnunulie.

Kuna Mijitu mingine ni ‘ Nuksi ‘ kweli hapa duniani na kama Tanzania tungekuwa tunaruhusiwa Kumiliki Silaha kama nchi zingine kuna Uwezekano aina hii ya Wamachinga wenye Makusudi na Kupenda Kutuchoresha Sisi Wanaume ‘ Hamna Kitu ‘ wangekuwa hawapo kabisa ila Makaburi yao ndiyo yakawa ni mengi mno hasa hapa Dar es Salaam.

Wewe mwenye Baa hapo maeneo ya Kurasini samahani kwa nilichokifanya kwa huyo Mmachinga Muuza Nguo ila najua huo utakuwa ni mfano tosha kwa Wamachinga wengine wenye aina hiyo ya ' Upuuzi ' kwani alikuwa anataka Kunipeperushia Demu na Kuniumbua Kwake kwa ' Kunichoresha ' Kwake na kweli Demu mwenyewe nae akaondoka hivyo nikaona isiwe jinsi nami Hasira zangu zote nizimalizie Kwake.

Halafu tokea mpewe hivyo Vitambulisho vyenu na Baba yenu Kikatiba ndiyo mmekuwa na Kiburi na Jeuri sana ila mtanyooshwa tu ' Kudadadeki ' zenu. Hali yenyewe ya Hewa hii mnaiona jinsi ilivyo ya Kinyegezi Nyegezi halafu Watu tunataka ' Kuseti Mingo ' za kuja Kuzibandua ' Maghettoni ' mwetu Usiku ili twende sawa na Watu wa TMA ( Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania ) mnakuja kutuharibia mipango yetu yote. Mnakera kweli!

Nawasilisha.
 
Sijui ni nani amewafundisha hii mbinu ya Kibiashara inayokera na ‘ sometimes ‘ kutudhalilisha sana Sisi Wanaume ‘ Choka Mbaya ‘ au ‘ Apeche Alolo ‘ pale unakuta umemdaka Demu halafu ukaamua tu kwenda nae Kuzuga katika Baa iliyopo jirani halafu unaona wale Wamachinga wauza Nguo za Kike wanaanza Kufurika kuja Kwako huku wakimringishia zile Nguo huyo Demu ili anunue au Mimi nimnunulie wakati huo na Mimi mfukoni nina Nauli tu ya Kondakta na kunirudisha Bunju kama siyo Mbweni.

Sasa haya Mamachinga yanavyoudhi na kukera unaweza ukamtonya kwa Kumbinya Mguuni kuwa auchune asepe zake kwani huna Hela au ukamminyie Jicho Kishkaji kuwa ondoka unaniumbua kwa huyu Demu na lenyewe sasa ndiyo Kwanza linaanza Kuchomoa kwa Makusudi zile Nguo nzuri nzuri ili kuzidi Kumtamanisha Demu wako ananunue au nimnunulie.

Kuna Mijitu mingine ni ‘ Nuksi ‘ kweli hapa duniani na kama Tanzania tungekuwa tunaruhusiwa Kumiliki Silaha kama nchi zingine kuna Uwezekano aina hii ya Wamachinga wenye Makusudi na Kupenda Kutuchoresha Sisi Wanaume ‘ Hamna Kitu ‘ wangekuwa hawapo kabisa ila Makaburi yao ndiyo yakawa ni mengi mno hasa hapa Dar es Salaam.

Nawasilisha.
Naunga mkono hoja juzi nusu nimkate kerbu mmachinga mmoja, niko zangu na demu mkali na hela zangu za kwenda kununulia mazaga ya kiepe akanichoresha na viwalo vyake vya mchina huku anamshika shika yule demu achague nilimkata jicho moja matata mkuu alitoka nduki

Cc Zero IQ
 
Mimi nimejeruhi Mtu huko Kurasini muda si mrefu Mkuu na sasa nasikilizia tu hapa kama Vijana wa Mambosasa watanidaka au hapana japo nimeshatoka hilo eneo la tukio na nasikilizia mtaa uliopo siyo mbali sana na hapo. Na kilichoniuma zaidi Mkuu huyu Demu ambaye nilikuwa nimempata leo alikuwa ni ' Bikira ' kabisa yaani nakata Utepe mwenyewe halafu linakuja tu lijitu limoja na Kitambulisho chake Shingoni huku linarandaranda katika Meza yenu huku likichambua Nguo na Kutaja Bei ambayo hata nifanyeje kwa muda huo siiwezi Kuwa nayo zaidi tu ya Kununulia Soda na ya Kondakta. Hakuna Siku hawa Wamachinga walionikera kama leo Mkuu.
 
Kama mtu kaamua kuchagua nguo si maana yake ana hela ya kujilipia wewe unahangaika nini? Anaanzaje kuanza kuchukua nguo kama hajaambiwa chagua? Wanaume ifike mahali muache kuwaogopa mademu zenu we unashindwa nini kumwambia mwanamke wako kuwa bajeti ya kununua nguo haipo (kama kweli huna)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umefanya vizuri sana mkuu na vitambulisho vyao visivyokuwa ata na picha

Cc Zero IQ
 
Demu wako ndo mwenye shida macho juu juu

mmeenda bar kunogesha nyegezi zenu vipi awatolee macho machinga!!!

Semeni na mademu zenu machinga hawana kosa katika hili

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimeanza na Kumminyia Jicho Kishkaji aondoke kang'ang'ania tu kama haitoshi nikambinya Mguuni Kiume kuwa ' Oya Sepa sina Mapene unaniumbua hapa ' bado tu kang'ang'ania tena akawa hadi anacheka huku akinihimiza nimnunulie hadi niliposhindwa Kununua yule Demu ambaye alikuwa ' Bikira ' kabisa akaanza Kunidharau na akaondoka zake. Yaani Mbunye nikose halafu na huyu Mpuuzi Mmachinga asile Kipondo / Kipigo changu? Leo atasimulia kwani ile aina ya Ngumi niliyompiga nadhani hata Bingwa Mike Tyson akihojiwa inaitwaje anaweza asiijue kwani nilipompiga nayo hapo hapo akazimia na nikaanza kuona Inzi wanaanza Kutanda maeneo yake ya Bonde la Ufa ( Matakoni / Makalioni ) hali ambayo ilinifanya nikimbie na mpaka sasa sina uhakika kama huyo Mmachinga amepewa hifadhi ya muda ICU au ya Kudumu Mortuary.
 
Acha ukorofi muraaaaa...demu hakukutaka tu

Siku nyingine tafuta mwanamke sio "demu".....wanawake hatunaga tamaa ya kununuliwa nguo baa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mtu kaamua kuchagua nguo si maana yake ana hela ya kujilipia wewe unahangaika nini? Anaanzaje kuanza kuchukua nguo kama hajaambiwa chagua? Wanaume ifike mahali muache kuwaogopa mademu zenu we unashindwa nini kumwambia mwanamke wako kuwa bajeti ya kununua nguo haipo (kama kweli huna)

Sent using Jamii Forums mobile app

Uume wangu ukidinda mawazo ya busara kama haya unayonipa huwa yanakuwa mbali na Upeo wangu Mkuu. Na kinachoniuma sana ni kwamba huyo Demu alikuwa ni Bikira kabisa Mkuu na kama kuna Starehe ambayo GENTAMYCINE anaipenda duniani basi ni Kuzindua ' Mbunye ' za Wanawake wanaonza Mapenzi. Amenikera mno!
 
Umefanya vizuri sana mkuu na vitambulisho vyao visivyokuwa ata na picha

Cc Zero IQ

Mkuu nakuambia ile Ngumi ilivyonitoka Uvunguni na nikaipaisha hadi kumfikia katika ' Kolomero ' lake nisipopata Kesi ya Kujeruhi au Kumuwahisha Mtu Kaburini kwa lazima au pasipo ridhaa yake sijui. Yaani hapa nasikilizia tu mahala huku kila mara nikipiga tu ishara ya Msalaba. Najaribu hapa sasa kuangalia kama labda Mabondia akina Mohamed Ali au Mike Tyson au Evander au Lenox waliwahi nao Kuitumia hii Ngumi ya Kipekee niliyoitumia leo kwa Yule Mmachinga naona hakuna hata mmoja aliyewahi Kuitumia hivyo kuanzia leo ile Ngumi itaitwa GENTAMYCINE Jab / Punch.
 
Acha ukorofi muraaaaa...demu hakukutaka tu

Siku nyingine tafuta mwanamke sio "demu".....wanawake hatunaga tamaa ya kununuliwa nguo baa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sina uwezo wa kutafuta Wanawake kama unavyonishauri ila uwezo wangu ni hawa hawa Mademu hivyo niache tu nibobee huku huku Mkuu. Imepita miaka 10 tangia nibikiri Mwanamke hivyo nilikuwa nataka na leo tena nisafishe Nyota kwa Kumbikiri Mtu halafu Mmachinga mmoja tu na Kitambulisho chake ' Kilichochakaa ' kaniharibia kila kitu na mipango yangu yote hadi Demu kagundua kuwa sina Kitu.
 
Mkuu nakuambia ile Ngumi ilivyonitoka Uvunguni na nikaipaisha hadi kumfikia katika ' Kolomero ' lake nisipopata Kesi ya Kujeruhi au Kumuwahisha Mtu Kaburini kwa lazima au pasipo ridhaa yake sijui. Yaani hapa nasikilizia tu mahala huku kila mara nikipiga tu ishara ya Msalaba. Najaribu hapa sasa kuangalia kama labda Mabondia akina Mohamed Ali au Mike Tyson au Evander au Lenox waliwahi nao Kuitumia hii Ngumi ya Kipekee niliyoitumia leo kwa Yule Mmachinga naona hakuna hata mmoja aliyewahi Kuitumia hivyo kuanzia leo ile Ngumi itaitwa GENTAMYCINE Jab / Punch.

Cc Zero IQ
 
Mkuu nakuambia ile Ngumi ilivyonitoka Uvunguni na nikaipaisha hadi kumfikia katika ' Kolomero ' lake nisipopata Kesi ya Kujeruhi au Kumuwahisha Mtu Kaburini kwa lazima au pasipo ridhaa yake sijui. Yaani hapa nasikilizia tu mahala huku kila mara nikipiga tu ishara ya Msalaba. Najaribu hapa sasa kuangalia kama labda Mabondia akina Mohamed Ali au Mike Tyson au Evander au Lenox waliwahi nao Kuitumia hii Ngumi ya Kipekee niliyoitumia leo kwa Yule Mmachinga naona hakuna hata mmoja aliyewahi Kuitumia hivyo kuanzia leo ile Ngumi itaitwa GENTAMYCINE Jab / Punch.
aiseh mkuu hiyo ngumi umeibatiza na jina kabisa
 
Back
Top Bottom