Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Salaamu, Utapeli wa mapenzi umekua ni jambo la kawaida siku hizi kama utaperi mwingine wa aina yoyote ile, hili ni janga la Taifa liangaliwe kwa umakini, mwanamke unaweza kumpenda na ukampatia...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Yani tangu hajaolewa hadi ameolewa bado ananililia mimi tu, halafu mimi moyoni hayupo. Kwa uzuri ni mzuri ila mimi tu sijamkubali. Fikiria zaid ya miaka 10 ananitongoza tu na hachoki. Imefika...
-1 Reactions
19 Replies
812 Views
Hi ni yako, rafiki yangu mpendwa trudie Mwenyezi Mungu akubariki katika ulichopewa na umshukuru aliyekupa, na afike kuwa mkubwa, na uruzukiwe wema wake. Na aliyepongezwa atamuombea aliyempongeza...
31 Reactions
331 Replies
11K Views
Kuwa kwenye mahusiano na mwanamke mwenye ulemavu wa sauti (bubu) kuna faida zake kipekee, hasa ukimpenda kwa dhati. Baadhi ya faida ni hizi: Mawasiliano ya ndani ya moyo – mara nyingi watu wenye...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Mke huchanua kwa mapenzi. Mume huchanua kwa ukaribu. Wapendwa, water her heart. Lady share the honey. Hivyo ndivyo bustani ya ndoa inavyostawi. Stawisha ndoa yako kila siku.
5 Reactions
5 Replies
352 Views
Umeshawahi kujiuliza Wimbi la watanzania wengi kuongea wenyewe barabarani linaongezeka Mbaya wengine unakuta anqchezesha mpaka mikono kama anaongoza magari kwenye traffickligjt aisee Kila...
14 Reactions
57 Replies
1K Views
Wana JF, habari ya muda. Mimi ni kijana wa miaka 25, niliingia katika mahusiano mazito ya kimapenzi na mtu ambaye hakuniambia kama ni mama wa watoto wawili, ki ukweli upendo wa yule dada ulikomaa...
23 Reactions
159 Replies
6K Views
Habari za jioni Maisha mnayaonaje ndugu zangu,dada zangu,Kaka zangu. Kila nilichopanga kufanya mwaka huu naona kabisa hakitimii. Dada yangu mmoja hapa mtaani anasema nisijipe presha bado...
21 Reactions
134 Replies
5K Views
Habari kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nahitaji mke wa kuoa. Nilishakua na mahusiano huko nyuma ila kuna mambo yalitokea mengi tukaachana ila sijawahi kuoa wala sina Mtoto. Ukiwa interested...
7 Reactions
31 Replies
1K Views
Nilikuwa napitia uzi huu twitter (X). Kwamba mwanafunzi usiyemjua akiomba simu ukampa, unahatarisha kuoza jela miaka 30. Wanaume tuwe makini aisee. #NimejifunzaKitu
3 Reactions
6 Replies
446 Views
Katika jamii ya leo, imekuwa jambo la kawaida kwa vijana na wanaume wazima kujivunia kuwa “washindi wa vitanda.” Kila kona utasikia hadithi za usiku wa kihasara, mikataba ya giza kwenye baa, na...
19 Reactions
63 Replies
2K Views
Pisi kibao za Dsm na mikoa mingi ukizitoa out huwa ni kama umempa mtoto atm card atumie kwa siku moja, matumizi yao yapo rafu na kikomoaji kununua vinywaji ghali na mavyakula ya bei hadi vya...
14 Reactions
42 Replies
2K Views
WADOGO ZANGU: KAMWE USIJITESE KWAAJILI YA MWANAMKE. WÔTE MCHANGIE ÑGUVU KUYAENDESHA MAISHA YENU. HATAKI PIGA CHINI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Usiwe Mpumbavu. Usiwe mbumbumbu! Usiwe...
15 Reactions
66 Replies
3K Views
Safari yangu ilianza mwaka 2013 Nashukuru leo nimefunga pazia na kabila la wakiguru. My dreams have come true. Thank you.
9 Reactions
69 Replies
3K Views
TYPES OF PEOPLE YOU SHOULD NOT MARRY. 1. Don't get Married to a person that does NOT truly Love and Respect You. 2. Don't get Married to a Selfish person who can't be satisfied by just One...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
One day you are Married to Your Soulmate then you Watch them turn into Someone Else....; Sometimes you are so in Love with who a Person was, you can't bring yourself to Love who they have...
4 Reactions
14 Replies
980 Views
Sasa akatoa haya maafuta sijui lotion akayaweka chini ya mto. Mimi sijui yana kazi gani.nimehisi labda ni limbwata anataka kuniwekea Kwa anaejua ni nini hiki na yana kazi gani anisaidie.
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Kwema wakuu, naombeni ushauri ili nipite kwa amani. Mimi ni kijana wa miaka 25, nina familia na mtoto mmoja. Mwaka huu mwezi wa 6 nilirudi, mzazi mwenzangu akaomba aende kwao, nikakubali...
8 Reactions
115 Replies
4K Views
Wanangu tupeane code kidogo hivi nyie mnafanyaje fanyaje mpka mwanamke anakupenda kabisa, kuda dada kila siku lazima ampost mwana ake yaani deile ,kuna ile wegine wanawake mpka wanawagombania...
5 Reactions
16 Replies
783 Views
Back
Top Bottom