Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Inawezekana Nina pasaka chache na eid chache humu JF lakini kwa uchunguzi wangu mke bora hayupo JF, wanawake wengi wapo JF kwa ajili ya stress zao za mahusiano au ndoa. Embu niambie Kuna member...
33 Reactions
417 Replies
14K Views
Mkinyimwa papuchi mnalia pia, mkipewa mnalia, hivi kipi bora kwenu? Haya msaidieni mwanaume mwenzenu anakaribia kufa.
11 Reactions
187 Replies
29K Views
Move on. Period Everyone is entitled to his/her preferences and if someone doesn't love you its their choice. You can't question it or find faults with your self. Waiting for the person till...
3 Reactions
1 Replies
705 Views
Anaitwa Nsia Swai, dada aliyepata umaarufu baada ya fundi uchwara wa kompyuta kuacha maadili yake ya kazi na kuamua kuzitawanya mitandaoni picha za utupu za huyu dada. Huyu dada endapo...
8 Reactions
127 Replies
52K Views
Ona hawa dada zetu wanasherehekea kupata talaka, hiki kizazi kitakuja kumaliza lini hawa singo mothers wanazidi kumiminika mtaani. Taabu hapati mama, taabu inakuja kumpata mtoto katika makuzi...
5 Reactions
20 Replies
769 Views
Vigezo awe amezaliwa MWAKA 1998, 1999 au2003 Vigezo vya jumla Uwe na mwili wa wastani Mzuri wa sura Wasifu wangu Umri 29 Mfanyabiashara Karibu PM
4 Reactions
13 Replies
738 Views
kauli ya msanii ommy dimpoz yazua gumzo mtandaoni kwamba hayuko tayari kuwa na familia kwasababu za kiuchumi Kwa msanii mkubwa kama ommy dimpoz kutokuwa vizuri kiuchumi naona kama mwanetu...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Niongezee volume Ama imetosha Nimetokaa kusuluhisha kesi kama hii, sijui wameondoka waturidhishe ama kitaendelea kuumana huko. Mungu awalinde wanandoa wote loh.
9 Reactions
16 Replies
1K Views
Iko hivi mademu single au wanachuo wajanja kwa sasa wana code zao za kuita wateja, mojawapo ndio hio ukiona demu anaacha sana viatu na sendo nje ya mlango wake hio ni taarifa kuwa yupo na...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanaume hii kiufundi tunaiitaje? Kwani kwa kawaida tunatakiwa tutumie vigezo gani ili tuoge tena? Au mwamba yupo sahihi?
4 Reactions
5 Replies
431 Views
Habari zenu bwana mko salama ? Nimewapa taarifa nafurahia sana Mtoto wa kiswidi ndo kaangukia mikononi mwangu Atakuwa kamaliza chuo maana wazazi wake walisema mpaka amalize Upsala University...
15 Reactions
66 Replies
5K Views
Shikamooni wakuu! Nilikua natafakari hapa,kwa nin mwanamke akinyonywa matiti na mwanaume au hata akiguswa tu lazima mwili wake usisimke. Je kuna uhusiano gani kati ya hivyo vitu?
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Wakuu, Kila mmoja hapa ana kisa chake cha mapenzi amepitia ambacho ni funzo au mfano wa kuigwa kwa wanaoingia au waliopo katika mapenzi hasa vijana ambao wanajitafuta. Nitakuja na kisa changu...
6 Reactions
64 Replies
3K Views
My people hope mko poa kabisa ni mwendo wa VPN tu nikisomeka hapa France. Kuna kisa kimoja nimekipata leo asubuhi nikiwa ndani ya public transport kuelekea job, ni mwanamama ambaye anaongea...
4 Reactions
30 Replies
919 Views
Ndio maana huwa mnalalamika kwanini wanawake hawaridhiki. Anyway ndio asili yao, hakuna namna
2 Reactions
8 Replies
532 Views
Baada kufika abroad kuna jamaa yangu mmoja aliniambia ya kwamba wanawake wengi wa kizungu hawakubali kuolewa na Waaafrika wenye low IQ kwaaana wenye GPA below 4.5 eeeeh bwana hii kitu kina ukweli...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Kwenye ujana una mambo yake. Nahisi sio Kwa wanaume pekee la hasha yamkini hata wanawake Huwa Kuta hili. Niliwahi kuwa na mahusiano na binti mmoja Hivi wakitusi. Huyu dada nilikuwa namzidi...
10 Reactions
21 Replies
5K Views
Hebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa. Nina mwanaume yupo vizuri. (Ana sifa zote za mwanaume) Tatizo linakuja nampenda pindi nikiwa na hamu naye ya kukutana kimwili. Baada...
51 Reactions
703 Replies
22K Views
Ndugu wadau wa JF, Hivi Jukwaa la mahusiano, mapenzi, urafiki na hii Rahatupu blogspot lipi ni jukwaa zuri kwa mambo ya ndoa? Maana nimegundua hili jukwaa letu kuna watu wanapenda kufunguka zaidi...
0 Reactions
91 Replies
40K Views
Back
Top Bottom