Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakati mambo yanaenda vizuri kwako; kiajira, kibiashara au kimahusiano, hukuweza kumtafuta rafiki yako. Ila baada ya mambo kukwama; kwenye ajira, biashara, mahusiano n.k ndio unaanza kumtafuta...
9 Reactions
20 Replies
917 Views
Baada ya kula nauli zangu sana, jana tumekutana nae mombasa karibia na g.mboto, nikamuambia ngoja nikununulie chips, akakubali na tukaenda kenye banda la chips, tulivyokaa nikaenda kwa mchoma...
16 Reactions
27 Replies
2K Views
Unampenzi wako mmeaminiana mkapeana ufunguo wako wanyumba sasa kuna siku hajakitaarifu kakununulia gari kaona aje akusuprise . Kufungua mlango akakukuta nyumbani na mwanamke mwingine mkiwa...
9 Reactions
59 Replies
2K Views
Mwanamke asiposhiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu anaweza kukumbana na mabadiliko ya kimwili kama vile ukavu wa uke, kupungua kwa uimara wa sakafu ya fupanyonga, na kupungua kwa ulainishaji...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Ukifikisha miaka 40, usipokee marafiki wapya wala wapenzi wapya; pambana na wale ulioanza nao na wakakuvumilia mpaka kufikisha huo umri. Wengi watakao kufuata kwenye umri huo, watakuwa wako...
14 Reactions
50 Replies
3K Views
KAMA kuna mtu nitakuwa nimemuonea basi naomba samahani
6 Reactions
37 Replies
11K Views
Sifa zangu: Mwanaume mwenye umri wa miaka 30, kabila maasai Degree ya Kwanzaa Muajiriwa sekta binafsi Mweusi, mrefu na mwili wa wastani Mkristo Sijawahi kuoa na Sina watoto Napenda jogging na...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Wana JF naomba niwaulze ni kwanini wadada wa kichaga wanadhamini pesa kuliko upendo. Kwa sababu ndoa nyingi ambayo wachaga wamo huwa haidumu,sijui wanamatizo yapi. Ama wanalaana ya tamaa kwa...
7 Reactions
36 Replies
1K Views
Kuna watu wanasema kuwa kama mwanaume umetahiriwa unapoteza asilimia 40 ya pleasure unayoipata wakati ukifanya tendo la ndoa. Kuna mwanaume yoyote hapa ambaye alishawahi kufanya tendo la ndoa na...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
Wadada hizo kauli zenu utafikiri dunia nzima kuna mwanamke mmoja 🤣🤣🤣🤣 au ndo hua mnatulaani tusipate mwingine Eti wadada mnamaanishaga nini?
6 Reactions
35 Replies
1K Views
Wa mama wa kichaga ahsanteni sana kwa kuniletea huyu binti binti mushi daa wazee sikuwahi kujua kwamba wanawake wa kichaga Wanajali na kuwathamini waume zao hivi aisee wakuu nafwa kwa mapenzi ooh...
28 Reactions
85 Replies
4K Views
Huyu mwamba anaitwa Musa Mseleku ana miaka 48 na ameoa wake wanne kwa furaha, sawa kuna changamoto zahapa na pale kwasababu hulka na silica ya wanawake imeja vitimbi ila hicho ndo kipimo cha...
5 Reactions
22 Replies
822 Views
Habarini jamani!!!! Mwendo ni ule ule Oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaaa baada ya mauza uza apo mwezi kati😃 Jana nilileta uzi kumhusu shemeji yangu mwenye dalili za kishoga ambazo amekuwa...
19 Reactions
130 Replies
6K Views
Kristo ni tumaini letu, Mapendo daima. Samahani kwa yeyote yule nitamkwaza au uzi huu akaona una machukizo kwakwe basi aniwie ladhi. Wakuu wiki iliyopita katika kuzagaa huku, kule, na humo...
19 Reactions
215 Replies
11K Views
Wakuu salaam, Tofauti na mama yako na mke wako wanawake wengine wote achana kujifanya kuwasaidia wanakuchora tu. Wanawake ni viumbe wabinafsi kuliko viumbe wengine wote chini ya mawingu mpaka...
191 Reactions
1K Replies
84K Views
Dem akijibu hivi, nitumie swaga gani hapa kumshawishi By the way hata mm ni mpigaji tu
2 Reactions
18 Replies
933 Views
Mke alale uchi asilale na nguo na mume ingefaa alale pia uchi ila kwa sababu za kiusalama kitengo inabidi walau awe na kitu for emergency sasa yafaa alale na kanzu ili aipandishe kama dera...
7 Reactions
24 Replies
1K Views
Wakuu kamwene... Kuna mdada nimempenda ndo natarajia awe mke wangu wa pili maana binafsi si mtu wa michepuko na sipendi uamuzi wangu ni kuwa na wake wawili na mke wangu nilishamueleza hilo. Mimi...
4 Reactions
16 Replies
941 Views
Kila nikiwaangalia, najiona mimi, ni warembo kwelikweli, kitu ambacho watafurahi sana wakikua na kuniona mimi, wataona nimewarisisha kitu kilicho chema. Napenda sana Uzuri
8 Reactions
49 Replies
2K Views
Hii Dunia tupo watu wenye haiba mbali mbali rahisi na ngumu katika kuishi na wengine na bahati mbaya kuna haiba hazibadiliki wala kurekekebishika hivyo unachotakiwa ikiwa utakutana na mtu mwenye...
3 Reactions
6 Replies
574 Views
Back
Top Bottom