Kila nikiwaangalia, najiona mimi, ni warembo kwelikweli, kitu ambacho watafurahi sana wakikua na kuniona mimi, wataona nimewarisisha kitu kilicho chema. Napenda sana Uzuri
Hii Dunia tupo watu wenye haiba mbali mbali rahisi na ngumu katika kuishi na wengine na bahati mbaya kuna haiba hazibadiliki wala kurekekebishika hivyo unachotakiwa ikiwa utakutana na mtu mwenye...
Hamjambo!
Baada ya kuchunguza historia ya mahusiano yake, past yake ambayo kwako ndio future ya uhusiano wenu.
Jambo la pili kubwa ni kuangalia mahusiano ya huyo mchumbaako wa kike na Babaake...
Wale mademu ni watamu sana,alafu akifika kanisani anakuwa mnyenyekevu na hasa awe muimba kwaya,atakuwa anatikisa kalio hilo huku wewe unaitikia tu amina
Maua yenu wadada nyie.
Mapenzi ni kama moto , moto ukiuchochea unakolea zaidi na usipouchochea unazimika ,
kuna mambo unatakiwa uyafanye ili kuzidisha nguvu kwenye mapenzi yenu yazidi kuimarika yawe bora siku hadi siku .
Alipoenda tu, ghafla akafa... Unayo lakini au ni umbeya tu? Matibabu yake ni makubwa lakini hajashiba, alisoma vizuri, hospitali alienda... Wale mbwa wengi sana...
Ndoa hizi zitatuua.
Jamani ipo hivi. Mimi ni mume mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani...
Hili tukio lilishanisibu jamani yani mpaka leo siwaamini kina dada japokua siyo wote.
Ila namshukuru Mungu nilisahau mapema na maisha yana songa kama uko kwenye mahusiano bora utulie tu na mtu...
Kuna kitu wanaume huwa hawa admit mana wanaona kukubali hii ni kama sio urijali, ila unaweza ukatokea tu unamkubali jamaa fulani naturally, labda ukimuona au kumsikia, haimaanishi kwamba wewe sio...
Za saizi wajumbe?
Nilikua safari kama week moja hivi sikua nyumbani.
Sasa leo nimerudi, mpangaji mwenzengu ambae ni mke mtu aliponiona akaniambia "Waooo, Kyanyangwe nilikumiss sana "
Sasa...
Niliunganishwa na huyu mke wangu na shangazi yangu. Kipindi hicho nilikuwa nimetoka masomoni Uingereza, na kwa kuwa nilitoka huko nikiwa na kazi tayari, hivyo nilikuwa nishajipanga kimaisha na...
MAMBO SABA (7) AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI:
Katika Mambo haya inategemea Aina ya maisha mnayoishi na mumeo lakini wanaume wengi wapo hivi.
1__.MWANAMUME HAPENDI KUFOKEWA:
Hata Kama...
Habari zenu watu wa mapenzi?
Hivi ni criteria gani hapa mjini inayofanya mtu uitwe mubaba na hutu tubinti twa 2000?
Iko hivi kuna siku nilikua bar ya komida kimara temboni na jamaa zangu,tumekula...
Hapo vip!!
Wasichana au wanawake wengi wanabaki masingle mothers na kutelekezwaa kwasababu anakuwa kwenye mahusiano na mwanaume anayempenda..wanawake wengi huwa wanawazaliwa wanaume wanaowapenda...
Sikujua kama kuna siku itakuja kuja niishi na maumivu kwa kiasi hiki. Mipango ya Mungu ni Migumu sana sijui hata kwanini kaamua hili.
Mi namuita mtoto wangu, (mtoto wa kaka, kaka ninaemfata...
Niliambiwa kuna chakula nipikiwe, chakufanya, nimtume boda ingredients, nikasema sawa.
Ingredients zikaja, mapishi yakaanza, na tukaandaa matumbo ya chakula kizuri.
Chakula kimeiva, kila...
Wagonjwa wengi wa maradhi ya Afya ya akili chanzo kikubwa kinaletwa na kutoshiriki tendo la ndoa kwa walio na umri wa kufanya ilo tendo.
Wenye maradhi haya wengi ni wale WALIOKUWA wanandoa au...
Kama uzi unavyojieleza hapo juu nataka kufaham ni kabila gani la hapa Tanzania ambalo wanawake wao wana Lips nene/pana kama walivyo wanawake wa Ki ivory coast ?
Nataka kufaham tu, kama hulijui...
Wadau,
Kutokana na mikasa mingi ambayo nimewahi kuipata na pia kusikia kwa ndugu, jamaa na marafiki nawashauri sana kuna mikoa msikanyage kabisa hizi ni story za kweli na nimezikatisha sana ili...
Ukahaba umeshamiri sana hapa nchini ktk zama hizi. Lkn kwa kuwa tumeamua kuwa wanafiki kwa kutokuitambua rasmi biashara hii, makahaba wanaifanya ktk mazingira ambayo siyo salama kwao.
Laiti kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.