Swali la Wiki: Mpenzi wa Kweli ni yupi?

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,425
Mpenzi wa kweli ni yule ambaye hatangoja kujua nini unahitaji yaani hana sababu ya kusubiri kuombwa ndiyo atoe msaada.
Ni yule atakayejua wakati gani huna furaha au una furaha na atakuwa na wewe kwa hali zote mbili.

Ni yule ataekuwa tayari kukusikiliza kwa kile utakachosema, hatojali umeongea baya au zuri.

Atakuwa na wewe wakati wa shida na raha. Hatakuwa mtu wa kuvizia vizia na kujisogeza wakati ukiwa na raha.

Mpenzi wa kweli atakuheshimu na hatopenda kuwa kikwazo cha maisha yako, atakulinda daima.

Atakupenda kwa moyo wake wote na wala si kwa ajili ya shinikizo fulani (pesa au mali). Mpenzi wa kweli ni yule atakaeonyesha kuthamini nafasi yako kama rafiki au mpenzi mbele ya wengine, hafichi hisia zake mbele za watu, atakutetea na kukufanya wa kwanza.

Kwenye ukweli mpenzi mzuri atasema bila kukuficha na atapenda kukuonyesha mifano ya namna ya kuwa mkweli na mwaminifu.

Mpenzi wa kweli ni yule anayejiamini, asieyumba katika maamuzi hata kama atalazimika kufanya maamuzi magumu.

Atakuwa tayari kuvumilia, hatakuwa mwepesi wa hasira wala kutumia lugha chafu na ubabe.

Huyo ndiye Mpenzi wa kweli.
 
Anayenipenda
 
Write your reply...cha msingi asibanie papuchi.. huwa sjui kwa nini wanaibaniaga hivi hawapendagi raha 🤔 ? au ndo kituu pekee cha thaman walicho nacho? ukiondoa papuch hivi nini wanaweza offer kweny relationship ?🤔 duu. haya mambo tuyaache Kama yalivyo
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom