Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari ndio hiyo, Ukiona uume wako unaweza kuvaa kondomu na ukahimili game bila kondomu kuvuka mara kwa mara basi ujue hauna kibamia bali demu wako ndio mwenye bwawa Ila Ukiona kila.ukipump...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarin wanajamvi, wanawake wametuzaa na kutupa raha lkn wanapoelekea wanaenda kuiangamiza dunia. Hapa jirani yangu kuna mwanamke kaua watoto wawili wamume wake miaka 8 Kwa miaka 5, Kwa madai kua...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Wakuu salam, Hivi mwanaume kupapaswa papaswa kwenye matako na mpenzi wako, eti huo ni ufala au ni ujanja? Wengine wanasema huenda hiyo ikachangia mwanaume kuwa shoga wengine wanasema hayo ni moja...
1 Reactions
72 Replies
18K Views
Unaambiwa siku izi ukiagiza msosi usipoomba biriani imeisha iyoo.. In Mr Beneficial voice.. @Chalii_ya_Ara Binafsi sili hayo mavitu.. Tairus Left.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Katika mahusiano ya watu kumi(me&ke) basi mahusiano ya watu saba kati yao huwa ni lazima watizame filamu za ngono kabla hawajaingia kuraruana kitandani. Suala hili lipo kwa vijana wa kileo hasa...
5 Reactions
24 Replies
7K Views
Habari wadau! Baada ya kusikiliza mazungumzo aliyofanya msanii Diamond Platnum jana pale Wasafi Fm,na kufunguka kuwa mpenzi wake wa zamani Zari aliwahi ku cheat na Trainer wake, jamaa yangu flani...
4 Reactions
45 Replies
7K Views
Wakuuu, katika harakati za kutongoza mademu sie wanaume Wenda unaweza kukutana na hii changamoto ya kunyimwa namba ya simu na demu fulani uliyemwelewa au kuzungushwazungushwa kupewa namba ili...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wanajamvi nawasalimu kwa heshima zote. Kama mada inavyosema nimeonelea Leo niwashauri kidogo hawa wadogo zangu ambao wanategemea kuoa au kuolewa Luna jambo moja kubwa sana LA kuzingatia japokuwa...
23 Reactions
137 Replies
11K Views
Naomba kueleweshwa kuhusu kisasi ni nin? Faida za kisasi? Umuhimu wa kisasi? Lengo la kisasi? Njia za visasi? Hasara za kisasi?
0 Reactions
24 Replies
4K Views
NAMNA KUKOMESHA UKE ULIOLEGEA AU KUTEPWETA 1.Chukua nusu kijiko cha chai cha mango seed powder kisha changanya na maji kiduchu iwe rojo kisha chota rojo hiyo kwenye kidole kisha pakaa ndani ya...
0 Reactions
12 Replies
11K Views
Habari za mida hii. Niende moja kwa moja kama hivi " wiki 2 zimepita toka nilete uzi kuhusiana na binti nliyempenda na kumtupia nyavua akanasa nkampa mpunga na kumtoa out ili nimpagawishe na...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Mwaka 2006 nilibahatika kwenda mkoa wa Manyara na sehemu ya mkoa wa Arusha nikiwa na kazi moja ya kufanya tafiti za vinasaba miongoni mwa makabila ya wafugaji, nilifika mji wa Mbulu sehemu ya Mama...
8 Reactions
12 Replies
7K Views
Ngoja nianze Kushuhudia Ukuu Wa MUNGU Kwangu Hili ni Mojawapo wa Mambo Ambayo Mungu Amenitendea na Nimemuona kabisa Maishani. Juzi Siku Ya Pasaka Tulitoka Na Rafiki Zangu Kwenda Band Kuburudika...
5 Reactions
62 Replies
5K Views
Kama wewe ni mjeda na una mtoto wako yupo kidato cha sita hapa dodoma ni mrefu kiasi, mweupe ana chura flani teke teke basi ujue amenishobokea sana Zero kwenye kibanda changu cha kiepe hapa na leo...
7 Reactions
45 Replies
5K Views
Kama mnavyojua tumeumbwa kwa roho tofauti,mim nimetokea kumpenda sana huyu dada aliehamua kufunguka kuhusu hali yake. Nataka nimpe upendo wote na yeye ajihisi yupo duniani na anapendwa,nataka...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 35, msomi mzuri.natafuta mchumba wa kuoa,awe ni muislam kwa dini na mwenye kuheshimu dini. awe mrefu na mweupe.umri usiozidi miaka 30. Kwa maelezo zaidi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Naombeni msaada wakuu, Nimekuwa na walaghai sana mabinti wa watu hadi kupagawa na kunitambulisha kwao wakidhani nitakuja kuwaoa lakini akili yangu haipo huko , nimekuwa nikiwaonea sana huruma...
5 Reactions
60 Replies
5K Views
Habari gani wadau wa nguvu,siku za nyuma nili post thread ya kutafuta mwenza. Katika ile post nili toa vigezo vya mtu ambaye naitaji kuwa naye. Kuanzia siku ile madada wengi walijitokeza wengi...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Uzi tayari Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
5K Views
HaiAtakua haki kama kutakua na mfumo au namna inayolazimisha watu kuoana kama watu hao hawataweza kuishi pamoja kwa furaha. Suala la ndoa ni muunganiko unaohitaji ridhaa ya mwanaume na mwanamke...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…