Tuma link mkuuUnaambiwa siku izi ukiagiza msosi usipoomba biriani imeisha iyoo..
In Mr Beneficial voice.. @Chalii_ya_Ara
Binafsi sili hayo mavitu..
Tairus Left.
Sheenz type.Biriani nilishindwa kabisa kula
Eti mchele unapakwa rangi mapishi gani yakulishana mavitu ya hovyo
Haya mambo tuwaachie wapemba na wahindi ndiyo vyakula vyao
Yan hata huwez,kuweka mdomon kwakwelBiriani nilishindwa kabisa kula
Eti mchele unapakwa rangi mapishi gani yakulishana mavitu ya hovyo
Haya mambo tuwaachie wapemba na wahindi ndiyo vyakula vyao
Wewe ni mpemba au muhindi mkuuSheenz type.
Kabisa hii chakula mbaya sanaYan hata huwez,kuweka mdomon kwakwel
Hee hee polee aiseee hilo waachieKabisa hii chakula mbaya sana
Mara yakwanza kula nilikuwa Dar 2014 nilijuta kula hilo biriani
Tumbo lilisokota +kutapika
Labda mariam biriani aache kupika kabisaHee hee polee aiseee hilo waachie
Vjana wa,dsm
Unaskia watu wananunua birian NaLabda mariam biriani aache kupika kabisa
Si anatumia zile disposal plate, kwanini watu wasile na sahani zake after all ukiweza kupiga deki mahali ulipolia biriani unarushwa kwa air kama......anyway mambo yapo mengi ya kufanya.Unaskia watu wananunua birian Na
Sahan yenyewe Sasa anaachaje
Unaambiwa siku izi ukiagiza msosi usipoomba biriani imeisha iyoo..
In Mr Beneficial voice.. @Chalii_ya_Ara
Binafsi sili hayo mavitu..
Tairus Left.