Rombokwetu
New Member
- Apr 22, 2019
- 4
- 2
Habarin wanajamvi, wanawake wametuzaa na kutupa raha lkn wanapoelekea wanaenda kuiangamiza dunia.
Hapa jirani yangu kuna mwanamke kaua watoto wawili wamume wake miaka 8 Kwa miaka 5, Kwa madai kua mume wake hamjali,hana habari nae,Hataki kuwa nae pamoja Mara zote anamtenga kama mtu baki, nabado mumewe anaendlea kwa wazi kabisa kuchepuka licha yakwamba mama huyo aliamua kukaa vizuri na watoto Wa mumewe.
Siku ya tukio baba alienda kazini, mama akabaki nawatoto nyumbani inasemekana mkubwa alimpiga na kibao cha chapati kichwani na mdogo alimziba pumzi kisha yeye akanywa sumu ambayo haikumuua kwakua aliwaishwa hospital.
Anasema hakua na namna yakumpa mumewe maumivu kama aliyoyapata yeye kwahiyo akajua maumivu pekee yanayoweza kumshika mume wake nikuwaangamiza watoto wake,anasema hajutii kosa yupo tayar kuhukumiwa kunyongwa. Mwisho Wa kunukuu,
Wazee wenzangu tuishi nahawa viumbe Kwa akil kama unajua huyu ndo mwangiliz pekee Wa familia yako ishi nae vizur hata Kwa kumdanganya kwamba yeye ndio kila kitu,kama humpend na unaona hatari mtoe mapema okoa familia yako kabla hujakutana nahii changamoto, tangu mwaka huu umeanza hii case ya 3 naiskia.