Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ukitaka kujua kama mkeo au mpenzi wako .kama anamapenzi ya dhat #1. Ukiendanae baa hawezi ket katka kiti bila kukusogezea kiti ww #2. Mkiingia hoteli hawezi kula bira kukurisha japo kijiko kimoja...
1 Reactions
44 Replies
9K Views
Kama wewe ni mwanaume tafadhari sana acha kazi zote kwa sasa uje kwenye hichi kikao cha dharura, Sio fea kwa kweli tunakoelekea kwa sasa hawa viumbe wanazidi kutuchezea Rafu tusipoangalia na...
10 Reactions
160 Replies
12K Views
Ali Kiba-Mbio Marioo-Inatosha Hizi ngoma nikiumizwa nazisikiliza sana
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndugu wadau, numejiuliza sana kuhusu hili suala. Kila mtu utasikia hakuna kama mama, na hata nyimbo maalum zimetungwa kwa ajili ya kumfanya mama kuwa mtu spesheli. Lakini je, kwanini baba naye...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nafikiri nilikuja na maada hapa kuwa yule mwanamke niliyehitaji kumtambulisha home ambapo mama yake aligoma mpaka nimlipie mahali kumbe sijui walikuwa wanalisuka na mama yake wale pesa yangu...
5 Reactions
135 Replies
10K Views
Jamani ndugu zangu kwasasa nina mpenzi ananipenda sana nina uhakika wa hilo kwa zaidi ya asilimia 75%. Mimi pia nampenda ila yeye ndio nina uhakika ananipenda zaidi. So kwasasa sihitaji mpenzi...
2 Reactions
37 Replies
5K Views
Utafiti ulifanywa huko marekani mwaka 2015 unaonyesha kuwa 75% ya wanaume hutoa wazungu ndani ya dk 2 . Na wastani ni dk 5.4. Utafiti huo unaonyesha ni wanaume wachache sana ambao walizidi dk 13...
19 Reactions
263 Replies
29K Views
Nimeanza kwa kuwasalimia kwa sababu nadhani wote mna uwezo huu. Ilikuwa miezi kadhaa nyuma mke wangu alihisi kwamba nina uhusiano na binti mmoja hivi, lakini mbele yenu nasema ukweli sikuwa na...
12 Reactions
65 Replies
6K Views
Habari ya mfungo kwa wale waumini wa kiislam, Habari wana jamvi wote kwa ujumla.Hii mada nailekeza upande wa mapenzi haswa wale waliokuwa katika mahusiano,yaani girlfriend vs boyfriend.ukiwa...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Wadau kwa kupenda mapenzi sana umewahisaliti mpenzi wako au mke wako/mpenzi/mume ili upate utamu kwa anayekukuna vizuri?? Je baada ya hapo ilikuwaje mkarudiana na mke au mpenzi wako??
1 Reactions
6 Replies
1K Views
[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji116][emoji116][emoji116] Mme na Mke walibishana kila mmoja akijigamba kuwa ana rafiki mzuri.Ili kumaliza ubishi,wakaamua kuwapigia Marafiki zao kwa loud speaker...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wanaume wenzangu! Siongezi wala kupunguza neno. Mwanaume Linda mfuko wako dhidi ya wanawake. Kuna used mmoja nimetoka naye out siku moja kesho yake tu ananiomba hela sijui alisahau jana...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Ukiona mwanamke haombi pesa kisha anakupenda na kukuheshimu jua huyo ni assets ,mpe mtaji kuwa muwekezaji mzuri kwake sababu mwanamke bora huwa na mume bora.Mwanamke wa namna hii ndio wajenzi wa...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Dear Ladies Listen. Honestly some of you ladies are the cause of your problem. A very nice guy [emoji6][emoji6]comes to you with all the sincerity of his heart and wooed you; he expresses love...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Huwa sipendagi ujinga au kufanywa ndondocha na mwanamke yeyote ulimwenguni. Utamu ninao mimi mwenyewe, hili nimeligundua baada ya kupiga MASTER B. Nakutumia pesa unaleta kelele ,eti mbona ya...
16 Reactions
59 Replies
5K Views
Habari wana JF, Mimi ni kijana wa kiume, Miaka 30. Graduate, nimeajiriwa serikalini. Naishi DSM. Dini yangu ni Muislam, mimi ni mstaarabu na nina hofu ya Mungu. Sijawahi kuoa wala sina mtoto...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mwanaume ni kitu gani hasa umekipenda kwa huyo demu wako/ mkewako kilikufanya uamue kuwa naye, je changamoto unazo kutana nazo ukiwa naye zinakufanya useme "ningejua nisingekupenda au kuwa na...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Damu nzito kuliko maji ni msemo ambao tumekuwa tukiutumia ukitafsiriwa kuwa ndugu yako ni mwenye kukujali zaidi kuliko mtu baki. Katika maisha yetu kuna mazingira ambayo hayaobey huu msemo, kuna...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Unakuta unamgharamia kila kitu ye hana kazi wala nini lakini hicho hicho unachompa anaenda kumpa jamaa mwingine ,kama haitoshi amempa na mbunye wakati wote anavotaka lkn Wewe kwa masharti kibao...
2 Reactions
59 Replies
5K Views
Niaje wazeiyaaah... Mko Bwaxx!!! Sasa issue iko hivi mazee : Toka nijiingize kwa masuala ya mapenz mwaka 2011 nilipo maliza form six, cjawah kubahatika kukutana na DEM Virgin... Yaan kila DEM...
3 Reactions
109 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…