Wanawake bana...

Wanawake bana...

Mlupembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
446
Reaction score
217
Unakuta unamgharamia kila kitu ye hana kazi wala nini lakini hicho hicho unachompa anaenda kumpa jamaa mwingine ,kama haitoshi amempa na mbunye wakati wote anavotaka lkn Wewe kwa masharti kibao... Dah
Wanawake banaa...
 
Kuna wanaume wanahudumia sana joan ila hawajui mambo wakikukiss kama mtoto umemuweka akuchafue sikio au shingo anakung'ata anakufinya sasa wanini.
Umesema point kweli kweli.
 
Ukiona unatoa pesa na kuhudumia ila bado unapewa masharti ya kupewa mchezo hapo kuna mawili

Hakupendi
Hujui game anaona unamchosha tu

Labda anasubiri kuambiwa kwamba hajui kitu
Hahahaha ,JF kiboko
 
Ndo huwa nawateka KE hadi wananipa vihela na papuchi
 
Ukiona unatoa pesa na kuhudumia ila bado unapewa masharti ya kupewa mchezo hapo kuna mawili

Hakupendi
Hujui game anaona unamchosha tu
Inategemea mkuu,me anaweza kufanya kila siku ila ke si rahisi kufanya kila siku
 
mnapokuwa 6 kwa 6 jiondoe ufahamu weka tai na suti pembeni,jifanye fundi gereji na hakikisha chaga zimelowana zote
 
Tafuta mwanamke mcha Mungu.. Ibada isipungue nyumbani mwenu.. Naamini majanga kama haya Mungu atayaepusha.[emoji1666]

Back
Top Bottom