Ndevu nyeupe

Ndevu nyeupe

flulanga

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2016
Posts
4,861
Reaction score
6,442
Jamani ndugu zangu kwasasa nina mpenzi ananipenda sana nina uhakika wa hilo kwa zaidi ya asilimia 75%. Mimi pia nampenda ila yeye ndio nina uhakika ananipenda zaidi. So kwasasa sihitaji mpenzi wala kutongoza hata kwa majaribio sitaki kabisa.

Main point, nilivutiwa sana na muonekano wa ndevu za muheshimiwa Mbowe kipindi katoka mahabusu, na mwingine aliyenivutia zaidi mpaka na mimi kutamani kufuga ndevu na ziwe nyeupe ni marehemu Mengi (rip). Umri wangu bado sijafikisha miaka 30 je nauliza inawezekana kuwa na ndevu nyeupe vile?.

Kuhusu muonekano sijali maana kama mpenzi tayari ninaye na yeye nilipomshirikisha hili na nikamuonesha picha ya Mbowe akiwa na zile ndevu na nikamuonesha picha ya marehemu Mengi alikubaliana na mimi akasema haina tatizo na kusema kuwa anathamini furaha yangu, ilimradi sivunji sheria ya nchi.

Uzi tayari jamani
 
Utavutiwaje na ndevu za mwanaume mwenzako, are you sure about your sexual orientation?
 
Utavutiwaje na ndevu za mwanaume mwenzako, are you sure about your sexual orientation?
Wewe nimpumbavu huna akili timamu, huu uzi waachie watu wenye akili timamu wachangie nandiomana wachangiaji niwachache kwasababu wenye akili timamu niwachache sana
 
Breach-kukiuka mfano kukiuka mkataba.
Nadhani mmekusudia Bleach ambayo nayo kazi yake si kuweka rangi bali kuondoa rangi/madoa.
Kuweka rangi ni Dye.....black,yellow,white dye
So prondo wamaanisha nikiweka breach nakuwa nimejikataa?
 
Back
Top Bottom