Kumjua mwanamke mwenye mapenzi ya dhati

Bossmkubwasana

Senior Member
Apr 9, 2019
139
47
Ukitaka kujua kama mkeo au mpenzi wako .kama anamapenzi ya dhat #1. Ukiendanae baa hawezi ket katka kiti bila kukusogezea kiti ww #2. Mkiingia hoteli hawezi kula bira kukurisha japo kijiko kimoja tu. #3. Hawezi mariza sku hata moja bila kukutamkia neno nakupenda. #4. Hawezi pata fulaha ukiwa umesafri __ huyo ndo mwenye mapenzi ya dhati...............
 
Kwani shida iko wapi mkuu?
 
Hivi kiswahili darasa la tatu waalimu wake ni vodafaster? Yaani inakera kwamba mtu hajui kuandika kwa ufasaha kama hakusoma hata la kwanza. Hata kama umeathirika na lahaja ya kwenu lakini hata wapi utumie 'r' wapi 'l'HUJUI ?? inahuzunisha sana!
 
Chukua likizo ndefu ya dharura, halafu mwambie mkeo umefukuzwa kazi na huku huna hata hela kabisa . kisha muda wote shinda nyumbani uwe unamuwekea sheria kibao za wivu, huku ukiwa mkali. Mshindishe njaa mfululizo na ukiondoka kwenda kitaa unarudi na dagaa tena apike chukuchuku. Akiwa mpole hadi likizo iishe bila hata kukuongelea vibaya, ila anakubembeleza basi angalau huyo ana mapenzi yenye msimamo..
 
Bora umesema wewe..mimi hoi
 
Hiki kipimo kizuri sana

Wanawake wachache sana wenye uwezo wa kuvumilia mwanaume wakati wa matatizo
 
Back
Top Bottom