Nimeona nisimulie kakisa kadogo baada ya kuona mauaji ya wapenzi yanayoendelea hapa nchini na leo ngoja niwape kaushuhuda kidogo kile kilichowahi kunitokea baada ya kushindwa kuthibiti hisia...
Hapo vip!!
Katika uchunguzi wangu nimegundua wasichana wengi wa siku hizi wanaishia kuwa masingle mother badala ya kuolewa kwasababu:-
Kwanza wanashauriwa na marafiki zao ambayo hawapo kwenye...
Kutokana na hali ambayo imekuwa ikiendelea humu kwenye Jukwaa la MMU kwa muda mrefu napenda kuwafahamisha members wote kuwa kuanzia sasa thread zote ambazo zitakuwa posted hapa MMU zitakuwa under...
"Habari zenu wana MMU"
Siku nyingi jamani... Hoping tu wazima wa afya na that the Holidays where Great!
Kawaida a couple hua watamaniana pendana na hatimae kujikuta ni wapenzi katika urafiki...
Wakubwa,
Mipango yote ya safari ya Tanga hapo kesho imekamilika. Wana Arusha Wing wako full-loaded, wanahesabu masaa tu.
Nitumie wakati huu kuwakumbusha wenzetu wote wa "MIKOANI" kuwa wafanye...
Habari zenu wakuu!
Kama title inavyojieleza hapo juu, wanawake wa Dar hawana sifa za kuolewa na kuishi katika maisha ya ndoa hadi kufa na kuzikana. Nasema hivi kutokana na uzofu wangu kutoka...
Mimi ni msichana,umri wangu ni miaka 25,nafanya kazi shirika binafsi, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba sijagui kabila wala rangi,awe na umri kuanzia miaka 28-33,elimu chuo kikuu,pm please
Nahitaji msaada wenu wanajamii forum, naamini palipo na wengi hapaharibiki jambo na mwisho wa siku ntapata msaada wa kunikwamua mahali nilipo
Nina kaka yangu mwaka huu amefunga 42 years, actually...
Kwa karne hii mdada ambae anaolewa, lets say at 26, aliyoyafanya katika umri wa 14 - 25, ni malaika wake pekee ndio wanajua na kusitika.
Vijana wa kiume tuseme anaoa at 30, ailyoyafanya katika...
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Tiras Muange, mwanaume kutoka Kenya, aliweka ujumbe mzito kuhusu mke wake, Phyllis Mutisya, muimbaji wa Gospel Mlokole, akikiri kuchoshwa na tabia ya mke wake...
Kaka zangu na dada Zangu habari
Yule mwanamke amekuja jana getoni kwangu na ameniomba msamaha kwa kunichiti pia anashida ya laki Tano
Naomba ushauri nimpe na nimsamehe
Ingawa ukarimu na kujali wengine bila misingi ya upendeleo na ubaguzi ni jambo jema sana ila kusimp ni tabia ambayo inamfanya mtu kutoka nje ya mipaka ya ukarimu na utu na kuanza kuingia katika...
Miaka 15 hivi iliyopita jamaa yangu wa karibu aliamua kuoa demu ambaye walikuwa wamekutana miezi kama 3 tu iliyopita. Ndani ya kipindi hicho cha miezi mitatu ya kudeti, jamaa akagundua kuwa huyo...
Rasmi leo nimeamua kuachana na mke wangu baada ya kuishi nae kwenye ndoa for almost mwezi moja baada ya matokea yake ya chuo kupata GPA ya 4.4 mke wangu nilimuoa akiwa mwaka wa mwisho chuo kikuu...
Habari zenu wadau.!
Niende kwenye maada moja kwa Moja. Kuna simulizi kaza wa kaza zimekua zikiletwa hapa Jamvini wanaume wakilalamikia wake zao kutokufurahishwa na uwepo wa Ndugu wa Mwanaume pale...
Wadau,
Napenda kupata tu ushauri, ninachotaka kufanya sifanyi na ninachofanya sio ninachotaka kufanya..
...
Nisikuchoshe ni hivi, mwaka jana nilishawahi kulala na mwanachuo fulani kumbe ni...
Wakuu haya mambo yasikie kwa wenzenu tu aisee hawa wanawake wa huku abroad ni kisanga jamani aaaah hii 50/50 mtihani jamni unaweza kukufilihisi hivi hivi na wanawake wa huku majuu wapo na wewe kwa...
Alikuwa mkimya, mtiifu. nilidhani kwa dhati kuwa nimempata wangu wa ubani. Nilikuwa nimejipanga kabisa awe mama wa watoto wangu. Hata siku moja sikuwahi kumtilia shaka.
siku chache za mwanzo...
Sina uhakika kama Mimi ni mdogo zaidi humu ndani ila nawaamkieni.
Shikamooni.
Jamani ndugu zangu maisha kwangu si mazuri upweke unanisumbua,nahitaji marafiki wa kubadilishana Mawazo.sihitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.