Nilivyonusurika kumuua mpenzi wangu na kisu sababu ya hasira

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,332
4,858
Nimeona nisimulie kakisa kadogo baada ya kuona mauaji ya wapenzi yanayoendelea hapa nchini na leo ngoja niwape kaushuhuda kidogo kile kilichowahi kunitokea baada ya kushindwa kuthibiti hisia zangu za hasira.

Mimi ni kijana ambaye nilibahatika kuoa mapema nikiwa na miaka 21 na mpaka nafanya hayo nilikuwa na miaka 29 mwanzoni mwa penzi letu lilifana lilikuwa lenye tabasamu haswa mpaka tukazaa watoto wa wili toka hapo penzi letu likawa limebadilika ghafla na kila unapohoji tatizo leo atasema hili kesho hili.

Nilijitahidi sana kumvumilia nikijua atabadilika lakin haikuwa hivyo ikafikia hatua akaanza kunipangia tendo la ndoa inafika hata miez 3 ye hata hana habar na kila ukihoji ni kauli mkato kuna siku alichelewa kurud akarud kama saa tano usiku, akakuta nimekaa kivalandani nacheki movie huku nikitafuna muhogo.

Basi akaingia ndani bila salamu mwisho akaingia chumban akachange nguo fasta akaenda kuoga alivyo maliza basi nikajipendekeza nikampa salamu kiupole habari ya muda huu akapiga kimya.
 
Akapigaa kimya...,..basi nikatoka nje kidogo kuvuta upepo nimekaa kidogo nikarudi ndani nikawa busy kuchezea simu basi akawa anaongea na kusema eti una nipa salamu kubwa jinga hovyo,, nikakaa kimya hakuishia hapo akaninichokonoa tena kati ya wanaume na wewe mwanaume muangalie kwanza na ukome mazoea na mimi, aisee katika kauli iliyonipandisha hasira toka nidhariwe mpaka kufikia hapo kiukweli hiyi iliniuma haswa nikajikuta machozi yakinitoka maana niliwaza mengi na vingi ambavyo na mvumilia bas nikajikuta michozi inanitoka na yeye kwa ujinga wake akaona huyu namuweza akaongeza kauli nyingine ndio maana sikupi unyumba ninawapa wanaojielee kabla hajamalizia nikajikuta nimemtia kisu cha makalioni ni ile fasta nikachomoa ile nataka nivute punzi kuludisha tumboni ufaham ukalud fast nakuta anapiga kelele mume wangu unaniua akawa ameongea maneno yenye hisia kali ambayo yaliustua ubongo wangu kipindi hiko ni damu zinamvuja za kutosha nilivyosikia hayo....
 
daaah
 
Muendelezo mkuu tafadhalii
 
Nimeona nisimulie kakisa kadogo baada ya kuona mauaji ya wapenzi yanayoendelea hapa nchini na leo ngoja niwape kaushuhuda kidogo kile kilichowahi kunitokea baada ya kushindwa kuthibiti hisia zangu za hasira, mimi ni kijana ambae nili bahatika kuoa mapema nikiwa na miaka 21, na mpaka nafanya hayo nilikuwa na miaka 29 mwanzoni mwa penzi letu lilifana lilikuwa lenye tabasamu haswa mpaka tukazaa watoto wa wili toka hapo penz letu likawa limebadilika ghafla na kila unapohoji tatizo leo atasema hili kesho hili nilijitahidi sana kumvumilia nikijua atabadilika lakin haikuwa hivyo ikafikia hatua akaanza kunipangia tendo la ndoa inafika hata miez 3 ye hata hana habar na kila ukihoji ni kauli mkato kuna siku alichelewa kurud akarud kama saa tano usiku, akakuta nimekaa kivalandani nacheki movi huku nikitafuna muhogo basi akaingia ndani bila salamu mwisho akaingia chumban akachange nguo fasta akaenda kuoga alivyo maliza basi nikajipendekeza nikampa salamu kiupole habari ya muda huu akapiga kimya.....,
Screenshot_20231028-182648.jpg
 
Back
Top Bottom