Ndugu zanguni ni kweli pesa ina mvuto wa Mapenzi mpaka ikafikia kipindi mtu ukavutiwa kimapenzi na mtu flani kwa sababu ana pesa? Ni kweli pesa ni moja ya chambo katika mapenzi?
Pesa unaweza...
Ni mtu mzima mwenzangu...amezalishwa watoto kadhaa na wanaume tofauti.....
Sasa huyu mwanamke huruma iliniingia baada ya kumuona mpweke....
Nikachukua jukumu la kumsitiri/na mimi ofcoz nikawa...
Katika jamii tunazo ishi kuna aina au kundi la wanaume ambao ni dhaifu ambao ni aina ya mwanaume jamii ya wanawake humtengeneza kama retirement plan au mpango maalumu kufanikisha mipango yao ya...
habarin wakuu leo nataka nishare na nyie jinsi mrembo huyu alivonifanya niswekwe mahabusu kwa mara ya kwanza katika maisha yangu
ilikua ni siku ya jumapili ya tarehe 30 mwezi march mwaka huu...
Kwa ukimya aliojaliwa mwanamke humfanya atamke machache katika mengi kwahiyo anahitaji mwanaume mwenye kujiongeza ili kuelewa mwanamke wake anahitaji nini kupitia hekaheka zake anazozifanya iwe...
Kisaikolojia mwanaume huwa hapendi sana isipokuwa Mwanamke ndiyo ambaye huwa anapenda sana.
Ikitokea mwanaume anampenda sana Mwanamke husababisha migogoro ya kimapenzi yenye kujirudia rudia...
Vipi umeshawahi kupeana utamu na mwenzako kwenye simu mpaka ukafika kilele cha kibo?
Huwa anakuambia nini kinakupagawisha?
Mpenzi / Mwenza wako asipokuwepo: Je, unapenda kuflirt naye /...
Kwenye maisha ya sasa, kuna wanaume wanajishusha kutokana na hali zao za kifedha – wakiamini kwamba uzuri fulani wa wanawake hauwahusu, yaani zile pisi kali tuwaachie watu flani wenye kipato...
Reje kichwa cha haba ri hapo juu. Huyu mke wa binamu yangu alitaka kuniharibia ndoa yangu ila kilicho mkuta haamini.
Binafsi kabla sijaoa hakuna nimesha date na wanawake wengi sana walio nijengea...
Poleni na pilika na mbio mbio za maandalizi ya uchaguzi,vita ya congo na changamoto binafsi za maisha.
Mimi Mbwichichi katika kuhangaika kwangu kuyatafuta maisha nimebahatika kukutana na watu...
Umoja huu ni kwa ajili ya ma jobless pro max wote.bila ya kujali umri, jinsia au hata uzoefu.
Lengo ni kumpa nguvu jobless, kumpa moyo na hata ushauri juu ya yale anayo yapitia.
amini usi amini...
Wakuu nina mchumba wakihaya ila mie mwenzenu simuelewi kwa sababu nikiwa na hela mapenzi yanapanda moto ila nikiwa sina hatuelewani tunakosana.
Nikijaribu kumpgia simu zangu hapokei. Sijajua...
Kuna siku niliwahi kuona chapisho lililosema."Najiuliza jinsi Dr Nandipha aliweza kupenda, kuishi na kufanya mapenzi na muuaji bila kuogopa, kwa mara ya kwanza nitakubaliana na watu wasemapo ogopa...
Wakuu habr za siku nyingi mimi kama mimi sillent killer 2 kijana peace leo naoa.bdo umri wangu wakawaida (21) sana lakini kutokana na majukumu nimeamua kuvuta jiko mapema.Mungu bless my family and...
Mi ni mgeni huku, nimekuja kuanza maisha. Nahitaji mwanamke wa huku mbeya mjini kwa mahusiano endelevu.
Nimekuja huku JF coz mi sio mtembeaji sana wala muongeaji. Muda mwingi nipo ndani...
Nataka niachane na mchepuko wangu niliedumu naye kwa miaka miwili, nipeni ujumbe mzuri wa kuachana naye.
Sababu za kumuacha, tangu niwe naye hajanipa chachu yoyote ya kimaendeleo zaidi ya kunifilisi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.