Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nataka kuona jamaa walivyokuwa wakifumana marinda. Maana adhabu ya kuchomwa moto sio powa.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tumekutana mahali tukajadili mawili matatu tukabadilishana namba kiukweli interest zetu zikaendana na tukaendelea kuwasiliana/kusaidiana kimawazo kwa mda kidogo lakini urafiki umeisha gafla baada...
17 Reactions
276 Replies
20K Views
Siku hizi sio ajabu kuona mabinti wengi wa vyuoni ndio wanaoongoza kwa maadili mabovu hasa vitendo vya umalaya na mambo mengine yanayohusiana na hayo kunani jamani mpaka imefikia kipindi mnaogopwa...
1 Reactions
59 Replies
16K Views
Malezi ni kitu kipana sana ambacho kinahusisha uhusiano wa mtoto, wazazi pamoja na mifumo ya kijamii,kiuchumi na hata mifumo ya kisiasa inayowazunguka. Kijamii: Malezi ya mtoto yanachangiwa...
0 Reactions
0 Replies
595 Views
Najua mtanisema sana ila ninaona nimefikia tamati sitaki tena ubachelor nichoka kuishi ado ado kama mtoto wa paka aliyepotea soon nitajitahidi niwe double . Sijui nyie wenzangu.
7 Reactions
127 Replies
6K Views
Life is too short furahia maisha
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Dear ladies, Let me teach you how to show love to your guy. Some of you ladies do not know how to show love to the guy you are dating. some ladies think that the only way to show a guy love is by...
10 Reactions
56 Replies
4K Views
Roho inauma ila sina namna kuna binti niliyekua nampenda ila siku za hivi karibuni amebadilika gafla naweza kumpigia simu ata mara 4 hapokei na na Baada ya Mda namkuta Kapost status Whatsapp...
5 Reactions
106 Replies
9K Views
Or
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi unakuta Mwanaume anasifiwa na mkewe eti anajua kupika Ilikuwa hivi. Napita zangu kibarazani hapa home nikawakuta wanawake baadhi majirani na wapangaji kama desturi yao wanapiga zao...
5 Reactions
49 Replies
3K Views
usidanganywe na maneno ya huko vijiweni kwenu sometime tuwape respect wanawake tu Kama umekataliwa na mwanamke kubali tu na uendelee na maísha yako. Sio kuanza kumtukana mwanamke tambua wanawake...
0 Reactions
1 Replies
867 Views
Nimekuwa kwenye mapenzi huu ni mwaka wa nne lkn sijawahi kumfikisha kileleni mpnz wangu kwa njia ya kufanya sex ya kawaida hata nitumie masaa mawili kumuingizia. Lkn nikimuwekea kidole tuu dakika...
1 Reactions
59 Replies
15K Views
Habari wana jamii poleni kwa uchovu wa mapambano ya kutafuta mkate wa kila siku. Lakini pamoja na uchovu mlionao napenda pia tujadili juu ya swali hali na ufafanuzi wake ,huku nikizingatia kwamba...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habarini wakuu.. Napenda kujua kama pengine tumekwishawahi kuoa, kusikia na ama tuna ndugu na marafiki walio katika ndoa/mahusiano huku aidha mmoja ni mwenye tatizo la usikivu na au wote...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari wana jukwaa.Mimi ni mwanaume mwenye miaka 34,ni mwajiriwa wa serikali.Na Ni mrefu kiasi na mnene wa wastani.Dini yangu ni RC na kabila langu ni mchaga.Natafuta mwanamke mwenye umri wa kati...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mood swinguzi teyari
9 Reactions
301 Replies
18K Views
1. A man does not live with his parents (for an extended time). 2. A man has his finances in order. 3. A man does not let his ass hang out of his pants. 4. A man's language does not revolve...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Huwa wanasema hakuna mahusiano au ndoa iliyokamilika asilimia mia moja sasa kama ni hivyo kati ya hawa nani anapaswa kuwa mshauri wa masuala ya ndoa na mahusiano kwa ujumla? Mwanasaikolojia:Hawa...
2 Reactions
64 Replies
8K Views
Linapo kuja suala la mahusiano hii ndiyo type ya kuwa nao kwenye mahusiano, hata ukitoka nae out hakuna ile mizinga ya kindezi ndezi, mara umtumie 20 ya saloon, mambo kibao ilimradi tu akupe...
38 Reactions
241 Replies
31K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…