Picha: Hawa ndiyo Mademu wa kuwa nao kwenye mahusiano, siyo unakaa na mademu wezi ndani kila mda unapigwa mizinga

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
6,981
14,752
Linapo kuja suala la mahusiano hii ndiyo type ya kuwa nao kwenye mahusiano, hata ukitoka nae out hakuna ile mizinga ya kindezi ndezi, mara umtumie 20 ya saloon, mambo kibao ilimradi tu akupe frustration... Piga chini tafuta vyombo kama hivi

61625530_2317737818495542_6973266592062767104_o.jpg


56382702_2279296552339669_1816789149236068352_n.jpg

Mademu wa kibongo wanakupigia hesabu unakufa lini warithi mali, bora uwe na demu mwenye hela, ukiwa na demu maskini utakufa kifo kibaya, yaani utakufa kifo cha kijinga hadi huko mbinguni utaenda kujishangaa namna ulivyo poteza uhai kwa uzembe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom