Kipi kina ladha zaidi , kuchungulia na kuona live?

usiendesema

Member
Feb 5, 2019
10
7
Habari wana jamii poleni kwa uchovu wa mapambano ya kutafuta mkate wa kila siku.

Lakini pamoja na uchovu mlionao napenda pia tujadili juu ya swali hali na ufafanuzi wake ,huku nikizingatia kwamba wote tusomao swali hili tumeshawahi kuchungulia na kuona moja kwa moja kitu chochote kile.

Sasa nawaomba tujuzane kila mmoja na uzoefu alionao juu ya mada husika

Karibuni.
 
Kama huyo
tapatalk_1558636505474.jpeg
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom