Respect.....sometime...

Kijana Jr

JF-Expert Member
May 12, 2016
560
838
usidanganywe na maneno ya huko vijiweni kwenu sometime tuwape respect wanawake tu Kama umekataliwa na mwanamke kubali tu na uendelee na maísha yako. Sio kuanza kumtukana mwanamke tambua wanawake wengine ni dada zetu,mama wadogo,shangazi zetu kwa kuwa amekukataa wewe unanza kutukana mpaka ukoo wake wote Weka hisia hasi kando na ukubali matokeo. Gameover kuwa gentleman, hivyo ukikataliwa asione kuwa ni ishu kubwa Mzee . Wanawake ní wengi sana .
Itakuja kucost ushangae ,!?!!usije sema ukuambiwa?!!
 
Back
Top Bottom