Ushauri: Kwenu kina dada wenye umri wa miaka 31-50

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,921
14,820



Samahani kama nitakuwa nimekuudhi au nimekugusa au nimegonga kwenye point

Ila inasikitisha sana kuona Wadada waliovuka miaka 30 bado anatafuta bwana Handsome!

Ivi hivi vitu vya u handsome bado tu vina matter mwa msichana alievuka miaka 30 kweli?
Kwanini-why?
Kivipi-how?
Sawa najua wengi mnatafuta offspring nzuri watoto watoke vizuri and stuff but does it matter?
Mtoto si mtoto tu...

Hivi mpaka umevuka miaka 30 na haujaolewa au ni single mother bado tu unawaza kupata handsome men?

M
aisha uliopitiaaaa na maisha ya watu ulioona waliopitiaaa unayoyajuaaa na stori nyingi za money penny ulizosomaa bado tu unataka handsome men?

Napenda kuwasaidia na kuwakatisha tamaa na siwasemi vibaya "Handsome Men" to God be the Glory kwa uumbaji lakini wanaume handsome wanakuwaga VIPUSA balaaa! huku mtaani tunawaita VITOMBI

Na unajua kwanini wanakuwaga na behaviour za namna hii:
1. vitandani wabovu (samahani kusema haya)
2. Kila mwanamke anamtaka so hana shida saana na mwanamke sana sana atakuumiza tu
3. Hela anaipata muda wowote maana anajua majimama ya kulea ipoo inaweza ikaigharimia nyumba... gari... hela

4. Wavivu Bala. .ingawa so wote ila wengi wao Wavivu wananataaa, wasafiiii we acha! Utadhani waliumbaga mtu

Jamani nikiongelea handsome men naongelea wanaume handsome kweli kweli... sio hii misemo ya mashosti kusifiana kwa unafiki na kutiana moyo "oh bwana wako mzuuuri, bwana wako handsome" hapana.. Handsome nayosema mimi ni handsome hapana akipita mpaka mamayako mzazi anageuka..

Kwani hamjifunzi kwa Jacqueline Wolper, keshatua 31 anaona yeyote sawa tu bora machine iwepoo pesa atatafuta KWANI TSH NGAPI?

My dear Ladies kama umeshavuka 30 wewe mwombe Mungu tu upate mwanaume anaekupenda, anaekujali, anaekuthamini wewe na familia yako, atakaeiangalia familia yako na ya wazazi wako, na POCHI baaaas...

Na wanaume wengi ambao sio ma handsome wanakuwaga na MAWE - HELA vibaya mno basi tu hamwelewi

Kama mimi Msukuma wangu sura kama nanilihuu ila POCHI BABABA... MACHINE BABAAA... naenda wapi KISHUMUNDU au?

Kiru

Wadada Mbadilikeee... Saa inagongaaa Nuru za nyuso zenu zinafifia mtaanza kuitwa mabibi kwa kutafuta Handsome Men..

Kwani wanaume wasio handsome sio mwanaumee? tena wanakuwa watamu balaa...

Nikikaaga na mademu nikiskia wanaongelea habari sijui za handsome men sijui bwanangu handsome nanyanyuka nasepaa maana ni ujinga mtupu nawaona hawana akili.... kwa mtu kama mimi niliekalia mitarimbo yote hunitaftishi HANDSOME MEN.. kwanini? ...nimesahau nini? Dyu Dyu zenyewe zimepoooaaa... alafu mnataka nikapange watu jamani naombeni mje kwenye vikao naolewaa? kiru... sio mimi asee

Mwanaume MACHINE... Mzeee Baba bila MACHINE akale akalaleee... Sura hata MBUZI ANAYOOO

Ni hayo tu kwa leo; Mkimaliza mje na huku nimeshashusha Hadithi


Story: Money Penny ni nani lakini?!

 
Hahahaaa wanakwambia utakuaje na mwanaume ambae hata mtaani ni aibu kuongozana NAE?. Wakae wasubiri. Ushauri nimeupenda
 
Huyu Penny hana huruma ee!?, kusema sema ukweli tu ee!!!?
Mimi kama mmoja ya wazazi kamati ya CCM Taifa sina huruma kwenye ujinga na kupotezeana mudaa

Watoto wa kike sisi mayai baba mayai kwenye uterus ukishagonga 31 yanaanza kukimbiaaa ohooo!

We cheka kwasababu mwanaume hata miaka 50 unafyatuaa sio mwanaume

SINA HURUMA MZEE BABA... SINAAA
 
Back
Top Bottom