Wajameni jaribuni kuwa waungwana

Wajameni jaribuni kuwa waungwana

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,762
For past few days yaani mimi sina nguvu ya majibizano ya kila saa .
Meaning ninao uwezo wakujibizana na mtu kama sio madharau au matusi.
Unakuta mtu ni kizeee au amepita miaka 20 unatukana tusi mpaka aibu.
Acheni matusi.
Mimi sijui hunijui huwajui kwanini umtukane matusi machafu wewe unajionaje umekaa dining room unatukana watu tu bila sababu siulale.??
Ila naombeni msinitusi mimi nimechoka na msiposikia na wareport sina hiyo energy.
 
Binti hujatulia unahitaji resi kadhaa za ganja kila siku niamini baada ya miezi miwili utakuwa wa ukweli km mademu wa chuganiani..uswahili Swahili waachie wazawa wa jijiq
IMG-20190516-WA0013.jpeg
 
Kweli wanakuonea, mbona mimi hawanitukani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole Katoto Kazuri. Inawezekana wanakuonea kwa kuwa huna nguvu za kujibu Mitusi kila saa. Pia jichunguze kauli zako na majibu yako, ukiwa na kauli nzuri hiyo mitusi itapungua kisha utajikuta unakuwa Katoto Kazuri.
 
For past few days yaani mimi sina nguvu ya majibizano ya kila saa .
Meaning ninao uwezo wakujibizana na mtu kama sio madharau au matusi.
Unakuta mtu ni kizeee au amepita miaka 20 unatukana tusi mpaka aibu.
Acheni matusi.
Mimi sijui hunijui huwajui kwanini umtukane matusi machafu wewe unajionaje umekaa dining room unatukana watu tu bila sababu siulale.??
Ila naombeni msinitusi mimi nimechoka na msiposikia na wareport sina hiyo energy.

Hivi katoto kazuri una mtu wa kukukaza sasa hivi?

Hebu tafuta hata rafiki wa kuchat naye whatssap au PM itasaidia kukupunguzia hizi hasira na kero
 
Pole Katoto Kazuri. Inawezekana wanakuonea kwa kuwa huna nguvu za kujibu Mitusi kila saa. Pia jichunguze kauli zako na majibu yako, ukiwa na kauli nzuri hiyo mitusi itapungua kisha utajikuta unakuwa Katoto Kazuri.
Haya bhana sawa kwa hiyo mimi namimi nina matusi
 
Back
Top Bottom