Nakumbuka siku moja nilmpiga demu mmoja mpini wa maana ilikiwa jion nilimuwasha ya ela yote mpaka hamu yote ikaisha akaondoka imefika usiku saa 2 iv yan kama lisaa tu baada ya shoo ghafla manz...
Habari zenu wadau,
Utafiti huu upo katika uhalisia wa maisha tunayoishi siyo katika vitabu
kumekuwepo na mkanganyiko sana hususani kwa vijana wa leo linapokuja suala la kufanya mamuzi ya kuchagua...
Habari zenu wana JF.
Wiki iliopita kwangu ilikuwa mbaya kwenye mahusiano ya mapenzi kwasababu ya kufukuzwa ukweni. Mwezi wa saba mpenzi wangu alinikataza kutaniana na shoga yake kipenzi(best...
Poleni na majukumu mabaharia,
Hiki ni kikao cha dharula kwa mabaharia wote, leo tumekutana tena naomba naomba tuijadili 7800 kwa kina
Napendekeza 7800 ndo iwe nauli rasmi haijalishi anatoka...
Habari wana jamii,
Ningependa leo tujifunze kitu rahisi tu katika mahusiano, huwa dada zetu wanapenda kufanya mambo kuwa magumu jambo linalopelekea kuingia katika mahusiano ya hovyo sana...
Binti: Wanaume wenyewe siku hizi hawaeleweki
Wenzake:Kweli kabisa yaani bora uzae tu.(Wanasahau kuzaa na mtu ndio kitanzi cha milele na huyo ulezaa nae mwanaume asieeleweka pia.)
Kijamaa:Baby mi...
Mods: Naomba msiunganishe huu uzi na ule wa kwanza.....please!
Wapendwa,
kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kabisa kwa wote ambao mliweza kuchangia uzi uliokuwa na title "mume...
Imetokea.
Shemeji alivyo mcheshi, mpole na mchangamfu na mwenye kujali ni ngumu kuamini..
Ilikua kama utani baada ya kujifungua na mtoto kukua na kuanza kuonyesha tabia zake, ndipo wakubwa wakaya...
SALAMU SANA
AMA BAADA YA SALAMU
Nimetongoza mwanamke, amekubali. Lakini hataki kutoa papuchi kwa visingizio viiingi visivyo na mbele wala nyuma. mara anaumwa, mara muda haujafika wa kunipa...
Habari zenu wadau..Hopefuly mko njema,Sasa bhana sina perepete mingi acha nichumpe moko moko hadi kwenye topic..To be honest Sehemu ya nyuma ya goti la manzi huniteka kinyama,yaani nikidekerea...
Utangulizi
Mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 35 kwa sasa nahitaji Kuoa kwa sababu nimetosha kuwa na mke vile vile nimetosha kumudu majukumu ya kifamilia. kiuchumi, kifikra, kijamii nk...
Wakubwa habarini za muda huu kuna rafiki yangu kuna demu alikuwa anamkubali Sana Ila demu wanaishi mkoa tofauti sasa mchizi akataka kwenda kuonana na demu.demu akamletea sheria kibao jamaa akaona...
Habar! ninaishi Dar, I’m 28 years old christian, Lutheran church na nimeajiriwa, ninatafuta mme,nimechoka upweke na nahitaji mtu serious anaeishi dar kwa ajili ya ukaribu.
Thanks. Serious issue...
Swaga za wanawake
1. Ndio nakuja ila ujue sikai sana
2. Nishukie wapi?
3. Saizi saa ngapi nataka kuondoka
4. Ubaya wako utaingiza yote
5. Uingize kichwa tu
6. Funga mlango kwanza
7. Sikai sana...
Wanawake siku hizi ndo maana hawaolewi kwa sababu wamekuwa wanajirahisisha sana kwa kila mwanaume.
Akitongozwa kidogo tu anaachia na mzigo baada ya muda anatemwa.
Mtalalamika sana eti waoaji...
Nimeinakili kutoka group la Whatsapp. Simjui mwandishi but its worthy sharing. Japo ningefurahi kumjua mwandishi ili nimpe credits zake. Hili kwangu ni andiko bora kwa mwezi huu.
_________
Michael...
I'm male aged 24.
Kusema ukweli, sexually navutiwa sana na wadada walionizidi umri. Hasa mdada mrefu mwenye chura nzuri lainiii, ndo shiida kabisa. Huwa napagawa!!!
Niwe muwazi bila kujizungusha...
Masudi ni jamaa yngu wa kitambo toka shule ya msing ya mlimani miaka mingi iliyopita.tukapoteana hapo katikati mpaka tulipokuja kukutana tena udsm mwaka 2002.
Tukaendelea kuwa washkaj mpaka...
Habari wakuu kwa mwana MMU aliyepo mtwara karibu tule bata nipo kwa wamakonde kwa muda kama wiki hivi naprefer jinsia ya ke by the way ni bata tu nothing less nothing more
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.