je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,102
- 4,082
Wakubwa habarini za muda huu kuna rafiki yangu kuna demu alikuwa anamkubali Sana Ila demu wanaishi mkoa tofauti sasa mchizi akataka kwenda kuonana na demu.demu akamletea sheria kibao jamaa akaona isiwe shida akaona apotezeee na mahusiano yenyewe je huyu rafiki ilikuwa ushamba wa mapenzi au demu alikuwa anatafuta sababu ya kuachwa?