Upepo wa mabinti kuwa single mama kwa lazima

MIGUGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,137
Reaction score
3,952
Binti: Wanaume wenyewe siku hizi hawaeleweki

Wenzake:Kweli kabisa yaani bora uzae tu.(Wanasahau kuzaa na mtu ndio kitanzi cha milele na huyo ulezaa nae mwanaume asieeleweka pia.)

Kijamaa:Baby mi nataka kukuoa ngoja kwanza mambo hayajakaa fresh si unajua kazi ndio kwanza nimeanza.

Mume wa mtu: Binti sikiliza achana na hako kajamaa katakupeleka wapi?
~baada ya muda kadhaa~

Binti: Hili libaba nimezaa nalo lakini halinithamini tena kama zamani anathamini familia yake tu.Nitamuharibia.

Wenzake:

Kajamaa: Pole.Mi naoa December.Samahani nimemchukua mwenzako we si ulinisaliti ukatiwa mimba na Pedeshee wako nikaona poa tu.Yule rafiki yako aliekuwa anatusuluhisha tukigombana ndiye namuoa.

Binti: Mwanamke uliempenda ni mi tu we kajamaa huyo anakudanganya kwanza malay kama nini namchukia.Nitumie 100,000 basi kwani uko wapi siku hizi.Afu insta na Facebook hupost picha.Sawa ntalea mwenyewe tu.

Wenzake:

Mume wa mtu:

Kajamaa:

***The End
 
Mabinti wawe na subira tu. Hakuna kalenda kwamba hapa sasa lazima uolewe au uoe. Msikimbilie kuolewa tu na watu msiowapenda kwa sababu wana maisha fulani hivi mazuri. Wasubirini watu mnaowapenda muda ukifika mtaenjoy sana maisha.
Wadada wengi wameolewa na watu wasiowapenda.
 
Wakati tukikaa kusubiri watu tunaowapenda siyo ninyi wanaume mnakuja na vijembe hapa kutusema kila siku kuwa tutazeekea nyumbani.?
 
Huwa wanahisi wako kwenye mashindano.

Dada yangu. Usiishi kwa ajili ya watu. Baada ya kuolewa na usiyempenda. Siku akitokea unayempenda utachepuka naye? WANAWAKE MNAFANYA NDOA KUWA NGUMU SANA. Siwezi kuoa mwanamke asiyenipenda bora nizalishe nilee watoto wangu. Huwa nampima mwanamke kwa vitu vidogo vidogo kujaribu upendo wake kwangu na nikiona umeshindwa. Hata kama uhusiano wetu una mwezi mmoja nakuacha kimya kimya. Ukijaamka nishaondoka siku nyingi sana
SUBIRI UOLEWE NA UNAYEMPENDA
 
Nimekuelewa vizuri mkuu na naelewa ilivyo ngumu kuwa kwa mahusiano na mwanaume nisiyempenda mimi mwenyewe ni shuhuda katika hili sababu Siweezi,
tatizo linakuja usiyempenda anakupenda kufa, unayempenda anakuzingua haeleweki..!!
 
Kama wanaona fahari kuishi bila wanaume na wanayafurahia maisha yao waache waishi.

Wewe nani hadi uwanyooshee kidole??
Nimependa comment yako,akijibu swali lako naomba uni tag.
 
Dada yangu. Usiishi kwa ajili ya watu. Baada ya kuolewa na usiyempenda. Siku akitokea unayempenda utachepuka naye? WANAWAKE MNAFANYA NDOA KUWA NGUMU SANA. Siwezi kuoa mwanamke asiyenipenda bora nizalishe nilee watoto wangu. Huwa nampima mwanamke kwa vitu vidogo vidogo kujaribu upendo wake kwangu na nikiona umeshindwa. Hata kama uhusiano wetu una mwezi mmoja nakuacha kimya kimya. Ukijaamka nishaondoka siku nyingi sana
SUBIRI UOLEWE NA UNAYEMPENDA
Kupenda ni kazi ya mwanaume.
 
Back
Top Bottom