Wazazi wa mpenzi wangu wanataka mtoto wao aolewe na mtu mwenye pesa

ulitaka aolewa na maskini ili iweje? kampata mwenye pesa na yuko tayari kuolewa wacha aolewe, hapa duniani ni survival for the fittest, wanaoajiri wanatafuta waliosoma je hilo ni kosa? wenye pesa wanatafuta warembo hilo ni kosa? you get to struggle for survival. KULALAMIKA HAPA NI KUWA HUFAI HATA KUOA.

UFANYEJE KATAFUTE PESA WACHA KUFUATA WATOTO WA WATU huku huna nyuma wala mbele

Nina mpenzi wangu nampenda sana ila wazazi wake awaniitaj kwa kusema mwanao atapata shida kuishi na Mimi nampenda cjui nifanyaje ???
 
Nina mpenzi wangu nampenda sana ila wazazi wake hawanihitaji kwa kusema mtoto wao atapata shida kuishi na mimi.

Nampenda sijui nifanyaje?
Huyo mpenzi wako anakupenda? Kwa huo msimamo wa wazazi wake lazima hayo mapenzi yako kwake yaporomoke na tafuta kwingine.
 
Mwenye uamuzi wa mwisho ni huyo umpendae !!

Akiolewa pengine, usimchukie! Pambana, life goes on
 
Nina mpenzi wangu nampenda sana ila wazazi wake hawanihitaji kwa kusema mtoto wao atapata shida kuishi na mimi.

Nampenda sijui nifanyaje?
Katafute hela ukipata hela nenda ukaoe
Ukiona vyaelea ujue vimeumbwa
 
Acha na hawa wapuzi sijui tafuta pesa,
Mwite hiyo mana geto piga machine, mkunje kisawa sawa, mpe mimba tuone hao wazazi kama watamuoa

Nataman nikutane na familia ya hivo, yaan ni full kuwaigizia mapicha picha, nagonga mpaka paka wao, nyau hao
 
Back
Top Bottom