Katika hili, wanawake mtuhurumie sisi wanaume

hanzagira

Member
Joined
Jun 6, 2018
Posts
32
Reaction score
31
Imetokea.
Shemeji alivyo mcheshi, mpole na mchangamfu na mwenye kujali ni ngumu kuamini..
Ilikua kama utani baada ya kujifungua na mtoto kukua na kuanza kuonyesha tabia zake, ndipo wakubwa wakaya wakadai hyu mtoto mbona hafanani na tabia za koo zetu.?? Walihoji
Ugomvi kati ya kaka na familia ukanza, familia ikidai kutaka kutambua uhalali wa mtoto kama ni damu yao kupitia vipimo vya DNA.
Ikabidi kaka awaelewe na akakubali kufanya hivyo majibu kurudi mtoto si wetu.
Namuonea huruma kaka mnoo hakika mapenzi kwa mwanae ambae si wake yalikua mkubwa mnoo kila akimtazama mwanae huishia kulia tu.

Haelewi akubali tu kumlea mwanae sababu amezaliwa ndani yke au amkatae tu.

Wanawake tuoneni huruma na hii dhambi ya kutupa watoto ambao sio wetu.
 
Bado kamng'ang'ania tu? Kweli ni suala la muda tu, huwa najiuliza wazee wetu wanatumia mbinu gani kujua kuwa mtoto ni wa upande wetu au si wetu nashindwa kuelewa kabisa
Ndio mkuu, hata mimi nimeshindwa kuelewa mana walianza akiwa mdgo sanaa lakin brother alikua akipingana nao.
 
Imetokea.
Shemeji alivyo mcheshi, mpole na mchangamfu na mwenye kujali ni ngumu kuamini..
Ilikua kama utani baada ya kujifungua na mtoto kukua na kuanza kuonyesha tabia zake, ndipo wakubwa wakaya wakadai hyu mtoto mbona hafanani na tabia za koo zetu.?? Walihoji
Ugomvi kati ya kaka na familia ukanza, familia ikidai kutaka kutambua uhalali wa mtoto kama ni damu yao kupitia vipimo vya DNA.
Ikabidi kaka awaelewe na akakubali kufanya hivyo majibu kurudi mtoto si wetu.
Namuonea huruma kaka mnoo hakika mapenzi kwa mwanae ambae si wake yalikua mkubwa mnoo kila akimtazama mwanae huishia kulia tu.

Haelewi akubali tu kumlea mwanae sababu amezaliwa ndani yke au amkatae tu.

Wanawake tuoneni huruma na hii dhambi ya kutupa watoto ambao sio wetu.

Aki wawahurumie huu ni unyama na haupendezi kwenye jamii
 
Ndio mkuu, hata mimi nimeshindwa kuelewa mana walianza akiwa mdgo sanaa lakin brother alikua akipingana nao.
Kwahyo bradha hana mtoto mwingine hadi sasa? Au bradha harutubishi mkuu japo itakua ngum kwako kujua.?
 
Mwambie bro, kuna baraka nyingi kulea watoto wa aina hiyo, awe mkimya amuachie Mungu. Ni mtihani wa dunia, aufaulu.
Ni kweli mkuu akili ikitulia huenda atafanya hivyo na akubaliane na lolote litakalo kuja mbele yake, sababu naamin mwenye mtto wake atakuja mdai siku moja.
 
Inasikitisha na kutia huruma sana.

Nataka kujua tu;
Kwani bado tu kaka anaishi na huyo mwanamke wake? Tena kwa usalama?
 
Mwambie bro, kuna baraka nyingi kulea watoto wa aina hiyo, awe mkimya amuachie Mungu. Ni mtihani wa dunia, aufaulu.
Baba yake akimfata? Hivi mnajua migogoro ya watoto? Hakuna cha baraka sana sana Mke atazidi kuchepuka kwa baba mtoto. Sipendi uongo mm ningekuwa Huyo mwanaume ningefukuza.akaolewe na baba mtoto wake
 
Ni kweli mkuu akili ikitulia huenda atafanya hivyo na akubaliane na lolote litakalo kuja mbele yake, sababu naamin mwenye mtto wake atakuja mdai siku moja.

Kinachomliza kaka akimuangalia mtoto ni nini hasa ? Anaumia kwa ajili yake au mtoto?

Kama kilio sio kumhurumia mtoto asiemjua baba yake, akidhani huyo anaemlea ndio babake, basi jamaa hana huruma na hahotaji kuhurumiwa.

A deal na mkewe.
 
Back
Top Bottom