Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

1. Ndio nakuja ila ujue sikai sana 2. Nishukie wapi? 3. Saizi saa ngapi nataka kuondoka 4. Ubaya wako utaingiza yote 5. Uingize kichwa tu 6. Funga mlango kwanza 7. Sikai sana uharakishe 8. Tufanye...
6 Reactions
29 Replies
4K Views
Habarini humu! Umri wangu umetimia hivyo nimeanza hatua ya kusaka jiko popote lilipo naombeni maombi yenu nipate mtu sahihi hadi tuzeeke wote. CV yangu. Umri: miaka 32 Elimu: shahada...
2 Reactions
128 Replies
9K Views
Husika na kichwa cha uzi hapo juu kisha tiririka, Karibu.
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Habarini ndugu zangu,wazee wangu, wazazi wangu Kaka zangu, dada zangu, wadogo zangu, pamoja na vijana wenzangu kwa ujumla. Umri wangu mi Ni miaka 26 Ni kijana wa kiume mwenye akili timamu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
TESO KUBWA SANA KATIKA MAISHA YA MWANADAMU NI KUMPENDA MTU ASIYE SAHIHI KATIKA ENEO LILILOSAHIHI” YAPO MAMBO 25 YANAYOJITOKEZA:..... 1. Mtu asiye sahihi huleta mahangaiko na mateso. 2. Mtu asiye...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Tuliopitia maisha ya shule za bweni tunajua . Binti anaingia boarding ya me /ke Akiwa form two anapata mume wake wa kidato cha tatu ,yule mume au boy friend akimaliza form 4 anapata mume mume...
12 Reactions
61 Replies
7K Views
Wivu ni hali ya kumuona jogoo anapanda mtetea wewe kama binadamu unawarushia mawe Hiyo Ndiyo definition ya wivu Kwa hiyo acheni wivu!!! Kama ipo definition nyingine weka hapa Karibun Sana...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Unajua hizi siku za karibuni nimekaa nikajiuliza sana.Hivi kwa nini siku hizi kuna wimbi kubwa la wadada kutafuta wanaume in social medias mfano; Facebook unaweza ukakuta tu post mdada...
10 Reactions
171 Replies
18K Views
Habari za usiku tulivu, poleni kwa majonzi ya msiba wa Morogoro, sote njia yetu moja kila mmoja kwa muda na wakati wake, ajuaye lini ni Maulana pekee. Pole za dhati ziwafikie walioguswa na msiba...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Kama jukwaa linavyosema, ni jukwaa la mapenzi, mahusiano na urafiki. Leo sina mengi ila ninapenda kuomba urafiki na moderator yoyote wa kike ili awe rafiki yangu wa karibu tuwe tunapiga story...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari wadau, Leo nilikimbia kidogo ukweni kusalimia wazee wangu walionizalia mke wangu mzuri.. Baada ya kupiga story na kupata msosi tukaanza kufunga mizigo (ya kumletea mtoto wao nyumbani)...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu, Wahenga wanasema samaki mmoja akioza basi jua wote wameoza. Wanawake wa jf mnazidi kututhibitishia mna njaaa sana, Kitendo cha Dada kutoka Mwanza mpaka Dsm kwa ajili ya 7800 hii...
1 Reactions
97 Replies
6K Views
Watoto hujifunza kutokana na matendo ya wazazi wao, kama watoto wakilelewa kwenye familia yenye mifarakano na kutokuelewana baina ya wazazi wao mara nyingi watarithi tabia hizo. Wakilelewa kwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sema ukwel wako siku ya kwanza kufanya mapenzi ukiwa ndo umebarehe ilikuwaje pale waarabu walipoanza kutoka Wanawake Na wanaume tuseme ukwel Binafsi sikuamn kama Nina madin mazur kias kile...
1 Reactions
32 Replies
6K Views
Jamani, mchumba aliyetolewa mahali kbs na tarehe ya ndoa kupangwa lkn hakati mawasiliano na mtu wake flani na wameshachepuka. Inasemekana mchepuko wake akionyesha hali ya kutomchangamkia demu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nikwanii mwanaume anatajwa km microwave na mwanamkw anatajwa km oven(electrical) fafanua inapokuja katika suala la mapenzi
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza nina demu ananipa papuchi kiroho safi ila sasa nikimaliza tu mgegedo kichwa kinauma balaaa mpaka akija geto nawaza ila papuchi yake tamu sana...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Neno usaliti sio msamiati mgeni ,ni neno LA kawaida ,yn kufanyiwa kitu mbaya kwa kificho mfn mapenzi ya mwenza kwa mwingine Usaliti kwa jamii,nyingi za kiafrika nibkawaida ,ingawa huleta madhara...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
habari Za Leo wadau wangu ....Jamani mm ninashida na kiwanja maeneo ya kibaha kiluvya hata vikiwa viwili nitashukuru Sana Sana au kama SHAMBA lipo maeneo hayo kuanzia heka 3 na KUENDELEA...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…