Mchumba kuchepuka

Mchumba kuchepuka

NIMEONA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
3,854
Reaction score
5,714
Jamani, mchumba aliyetolewa mahali kbs na tarehe ya ndoa kupangwa lkn hakati mawasiliano na mtu wake flani na wameshachepuka. Inasemekana mchepuko wake akionyesha hali ya kutomchangamkia demu humlalamikia kuwa kwnn anakaa kimya wakati hajaolewa bado?

Ninavyofahamu, mchumba anakuwa tyr ktk himaya ya MTU......ni km vile aneshamilikiwa na si sawa kutoka nje. Hii imekaaje wadau?!!!!!!
 
FAnya yanayokuhusu. Ya ngoswe hayo.
 
Sasa hapo unataka ushauri gan ? Ok. Anachokifanya ni sahihi coz hajaolewa.
 
Ndo uniambie eti huyo kiumbe kama akiolewa atatulia..!!! No!
 
Jamani, mchumba aliyetolewa mahali kbs na tarehe ya ndoa kupangwa lkn hakati mawasiliano na mtu wake flani na wameshachepuka. Inasemekana mchepuko wake akionyesha hali ya kutomchangamkia demu humlalamikia kuwa kwnn anakaa kimya wakati hajaolewa bado?

Ninavyofahamu, mchumba anakuwa tyr ktk himaya ya MTU......ni km vile aneshamilikiwa na si sawa kutoka nje. Hii imekaaje wadau?!!!!!!
Ndio nasema mwanamke sahihi kuolewa ni bikira tu, full stop. Hawa waliofungua matawi ni wanawake wa jumuiya, kila mtu anajipigia kwa nafasi yake
 
Hakuna mke hapo
Ugonjwa wa moyo
Shinikizo la Damu
Pia Kisukari kikali
Yote yawa yako
Kuugua jamani
Unakufa kibudu
Yeye anaendelea

Chunga maisha
Usiingie hovyo
Kuwa tu jasusi
Afisa Usalama
Pekua Fukunyua
Jua undani wake
Tumia fedha jama
Nunua taarifaze

Bazazi!
 
Kuna demu fulani alikuwa anaolewa kama kesho hivi alafu leo jamaa yake wa zamani kaenda kumt***mba inasikitisha sana
 
Pole sana...

Wahenga wansema dalili ya mvua ni mawingu... hiyo siyo dalili ya mvua tena, bali hayo ni mafuriko...

Achana nae, atakuumiza kichwa na roho...

Cc; mahondaw
 
Hakuna mchumba hapo STUKA! Mkachukue mahari yenu haraka sana.

Jamani, mchumba aliyetolewa mahali kbs na tarehe ya ndoa kupangwa lkn hakati mawasiliano na mtu wake flani na wameshachepuka. Inasemekana mchepuko wake akionyesha hali ya kutomchangamkia demu humlalamikia kuwa kwnn anakaa kimya wakati hajaolewa bado?

Ninavyofahamu, mchumba anakuwa tyr ktk himaya ya MTU......ni km vile aneshamilikiwa na si sawa kutoka nje. Hii imekaaje wadau?!!!!!!
 
Kawaida sana hii Mkuu na wakati mwingine mrembo ndiye anayelianzisha hili, “Kama unavyojua mie wiki ijayo naolewa, ningependa tukutane mahali for dinner and dance tutalala huko huko ili TUAGANE rasmi” 😳😳😳😳

Kuna demu fulani alikuwa anaolewa kama kesho hivi alafu leo jamaa yake wa zamani kaenda kumt***mba inasikitisha sana
 
Kwani huyo mwanaume yeye hachepuki? Imeandikwa '' Nitakupatia mwenza wako wa kufanana naye'' ukiona kwenye ndoa wewe unachepuka hata mwenzako lazima anakuwa anachepuka. Nadhani hata hao nao wanafanana.
 
Back
Top Bottom