Wivu ni Nini?? Wakuu!!!!

Wivu ni Nini?? Wakuu!!!!

wax

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2015
Posts
5,940
Reaction score
5,754
Wivu ni hali ya kumuona jogoo anapanda mtetea wewe kama binadamu unawarushia mawe
Hiyo Ndiyo definition ya wivu
Kwa hiyo acheni wivu!!!

Kama ipo definition nyingine weka hapa

Karibun Sana hapa pestana nakula vitu vyangu hadi saa nane usiku
 
Wivu sijui hata ni ujinga gani, maana nikiona baharia kampigia mrembo wangu kuna ka hisia ka ajabu kananichokora kwa roho. Najikaza kiume ila anajua tu lazma nitaulizia 🤣🤣🤣
 
Baby usimsikilize Daby ana wivu sana. Hilo jukwaa hata silijui, mie huzungukwa na wewe tu.
Heeee mamaaa huyu mwanamke natampiga makofi anataka kunipa pressure huyu
Ngoja nimfuate
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kawaida ya watu wafupi, hata Khantwe yuko hivyo hivyo.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Wivu sijui hata ni ujinga gani, maana nikiona baharia kampigia mrembo wangu kuna ka hisia ka ajabu kananichokora kwa roho. Najikaza kiume ila anajua tu lazma nitaulizia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom