Nipo serious na ombi langu kwa moderator wa kike.

Nipo serious na ombi langu kwa moderator wa kike.

GRAMAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
1,328
Reaction score
4,255
Kama jukwaa linavyosema, ni jukwaa la mapenzi, mahusiano na urafiki.

Leo sina mengi ila ninapenda kuomba urafiki na moderator yoyote wa kike ili awe rafiki yangu wa karibu tuwe tunapiga story mbalimbali na tunabadilishana mawazo.

Moderator yoyote wa kike ambaye atapenda kuwa na urafiki na mimi wa kawaida wa kushare mawazo ya hapa na pale aniPM tu nitafurahi sana. Kifupi natamani kuwa na rafiki wa kike ambaye ni moderator.

Ni hayo tu wakuu. Ila sijui uzi unauhai wa dakika ngapi kabla haujafutiliwa mbali.

PM yangu ipo wazi masaa .
 
Ongeza dau mzee 7800 ndogo sana hata Royal bundle hupati.
Halafu Mods gani akufate PM wakati wanajua we hujui kukaa na siri mwisho siku uje kuanika texts zao kwenye Uzi 😂
Mkuu maneno gani unayozungumza hayo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Shenzi
Ongeza dau mzee 7800 ndogo sana hata Royal bundle hupati.
Halafu Mods gani akufate PM wakati wanajua we hujui kukaa na siri mwisho siku uje kuanika texts zao kwenye Uzi [emoji23]
 
Mkuu Mbona Wapo Wengi Sana Unapishana Nao Majukwaani.

Wengine Hadi Pm Umekwisha Wasumbua
 
Siku hizi kupata ban yaonekana ni kazi mno...
 
Back
Top Bottom